Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu polen na mihangaiko ya hapa na pale naomba kujua juu ya biashara ya kubet. Gharama ya kununua mashine na commision yake ikoje ni hayo tu!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam.............. Leo naleta uzi huu kwenu wana JF nikiomba kujua vitu vichache na vingi sana toka kwenu, nafahamu kuwa swala la kujiajiri limekuwa swala mtambuka Sana miongoni mwetu vijana...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mfano ni huyu bwana Jeff Bezos jamaa sahivi anamkimbiza Bill Gates kwenye list na matajiri. Huyu jamaa mtandao wake unaingizaje hela? Jack Ma wa AliBaba Mark...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna ambo moja ambalo nimeona watu wengi wanalifanya Kuanzisha biashara kwa sababu wana mtaji. Unakuta mtu anaazisha biashara ya mtaji wa milioni 100 kwa sababu ana milioni 200 na wakati...
8 Reactions
18 Replies
8K Views
Nipo mwanza najihusisha na ujasiriamali wa kutengeneza viatu vya kufunika na vya wazi, sasa biashara ni ngumu kutokana na mtaji mdogo ni mwaka sasa nimeanza(nina flem kabisa) lakin biashara haikui...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
TANGAZO ,:wale woote wanaofanya biashara comoro AMA wanataka kwenda kutazama fursa comoro bas meli IPO inapakia sasa..wahi nafas mnaotaka kwenda kutazama fursa bas ni wakat mzur wa kupakia mzigo...
4 Reactions
74 Replies
12K Views
Kama inavyosomeka hapo juu, ninashauku kubwa ya kujifunza hiki kitu hivyo kama unajua au kuna mtu unamjua tafadhali usisite kunitonya. Unaweza PM au hapa kwa faida ya wengine. NB: kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu Mimi nimeanzisha kampuni iitwayo kwezitu ambayo inatengeneza chai ya karafuu yaani clove tea. Kampuni imekizi vigezo vyote vya kisheria na inaruhusiwa kuzalisha na kufanya biashara. Wakuu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
WAZIRI wa Madini, Doto Biteko, amesema tangu kujengwa kwa ukuta wa kuzuia utoroshwaji wa madini ya tanzanite wilayani Simanjiro mkoani Manyara, serikali imeongeza mapato, kwa kukusanya kodi Sh...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Leo nimepata mwaliko kwa njia ya mitandao hawa wanajihusisha na biashara za alovera Nimeulizwa nipo tayari.? Kabla sijasema naomba mwenye uelewa na hawa jamaa nisije ingia mkenge.. Sent using...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Salaam wadau, hoja yangu ni kuomva msaada wa ushauri....as of recent situation ya uchumi wa nchi na makampuni ya sector mbalimbali kuyumba yumba... JE ni muda mzuri kununua hisa au timing sio...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari wanajamvi mimi ni mkazi wa hapa Dar Es Salaam, sina taaluma ya insuarance. Nimefikiria biashara ya kufungua hapa Dar Es Salaam nikaona biashara ya insuarance za magari itanilipa,iwe broker...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hellow wana jamvi nina shida ya dharura ambayo nimeona nije humu ili niweze kupata mkopo wa shilingi 300,000 niweze kuitatua na nitarudisha mwisho wa mwezi kwa riba ya shilingi 50,000 zaidi .mimi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mi nadhani ili kujikwamua na kuacha legacy kwa kizazi chako ni kujitoa, kuachana na anasa hata kama una uwezo nazo lakn acha uelekeze nguvu kwny kazi. Mi naona hapa ndo watu wengi tunafeli, mtu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam kwa wana jf wote,Licha ya kupitia nyuzi mbalimbali za uanzishaji wa kampuni nimeambulia kuelewa hatua za kufuata na nn kufanya kupata kampuni yako. Ningependa kujua yafuatayo. Aina ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimekaa sehem maeneo ya Makumbusho nawaona vijana wakienda na kurud huku wamevalia suti ( emergin dasalam palivyo najoto saiz) nikajikuta namkumbuka rafk yangu mmoja ambae alitumia nguvu nying...
20 Reactions
123 Replies
12K Views
Natumaini wanajamvi ni wazimaa wa afya Kama mada ilinavyojieleza ..Mimi ni mjasiriamali mdogo. Nimekuwa nikifanya biashara ndogo ndogo baada ya kutoka shule. Muda mfupi uliopita niliingia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naombeni ushauri, Mimi ni graduate lakini nilikua nimejiajiri mpaka mtaji ulipofilisika. Sasa hivi nimeajiliwa kiwanda cha nondo, nafanya kazi ngumu sana na tena nimepangiwa shift ya...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Naomben ushauri mwenyekujua aina za mashinenzuri za kukamulia wapi zinapatikana kwa hapa Dar Pia naomba anaejua changamoto zahii biashara aweke hapa walau tuzifahamu Naomba kuwasilisha...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Salaam zenu jukwaa la biashara kwa wataalamu hivi mizani ile mikubwa ya chuma ya kupimia bidhaa mfano mchele kg 200 na kadhalika inapatikana wapi na je second hand au dukani ile ya mwingereza bei...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom