Mradi wa Mchanga wa Madini Fungoni/Mwasonga

Hodar

Member
Oct 27, 2018
16
8
Wananchi walikuwa na matumaini ya kuingia mkataba wa kulipwa hela kila baada ya miezi mitatu kwa ajili ya kukodishia ardhi yao kwa kampuni ya JACANA/Strandline Resources inayotaka kufanya mradi wao pale.

MWEKEZAJI HUYU ANACHELEWESHWA NA VIONGOZI WA WILAYA YA KIGAMBONI. Hawa viongozi wanataka mwekezaji anunue eneo la mradi ili baadaye baada ya mradi waachiwe eneo hilo wakati kampuni ilishakubali kukodi lile eneo kwa miaka minane na baadaye kuwarudishia wananchi. WANANCHI WANAPOKWA HAKI YAO.
 
Back
Top Bottom