Looking for a serious investor to Register a construction company

Unahitaji nini hasa? Partner, investor, joint venture

Wewe una nini? What are you offering?

Why construction business, especially now when the main employer has put the industry to shumbles?
Looking for serious investor in order to register Construction company
 
Kwa mistari hiyo miwili ndo unataka investors kweli kabisa?

Watu wana makabrasha na mabox ya details wewe unaandika mistari miwili?
 
Looking for serious investor in order to register Construction company
Kuwa serious mkuu tuambie expirience yako kwenye industry alafu utupe,backup na financial details alafu kitu kingine hata investor angekua mjomba huwezi muandikia hivyo jipange
 
Kwa mistari hiyo miwili ndo unataka investors kweli kabisa?

Watu wana makabrasha na mabox ya details wewe unaandika mistari miwili?
maelezo mafupi sana....ujue ukitaka kitu inabidi utoe details za kutosha ili watu wasijiulize maswali mengi
 
Back
Top Bottom