Mosse Anney
Member
- Feb 6, 2019
- 11
- 3
Habarini wadau napenda kuuliza nikitaka kuanzisha chuo cha computer ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo na pia ili niweze kutoa cheti ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo? Asanteni.
Au kabla ya kuwaona atembelee website yao.Vyuo vyote vidogo na vya kati vinasimamiwa na NACTEWaone NACTE