Biashara ya vifaa vya magari na mapambo

kingjohn255

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
303
250
Wakuu habarini za humu ndani, naomba kwa mwenye uelewa kuhusiana na biashara ya vifaa vya magari na mapambo( spare parts&accessories) kuhusiana na soko lake hasa kwa majiji ya DSM na dodoma, maeneo ambayo biashara hii ukiiweka wateja watakuwa rahisi kukufikia na pia jinsi ya uendeshwaji wake pamoja na kiasi gani cha kuanzia kama mtaji kwa mtu ambae anataka kufungua duka kwa mara ya kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 

cooper

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
422
250
Naomba mwenye kujua ubora na matatizo ya ISUZU BIGHORN ikiwa na upatikanaji wa spare zake anisaidie maelezo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom