tulihamwe
Member
- May 11, 2019
- 12
- 0
Nduguu zangu naweka Uzi huu kutak kujua xheria ya ukusanyaji ushuru nani anafaa kuripa ushuru huo kisheria ,nimeongea hivyo nikiwa na maana kunawafunga viungo ambao kazi yao n kufunga viungoo nao hulipishwa ushuru ikiwa hakuna biashara wanaifanya ukikutwa unafanyia kazi kwenye meza (ubao )ambao hakuna Bidhaaa zinauzwaa basi yakulipa ushuru kwa meza hiyooo. .. naomba kuwasiridhaaa