Waheshimiwa na wakuu wangu humu wazima.
Nimewahi kusikia kwamba biashara ya korosho Adis Ababa inalipa sana kwamba kuna soko huko. Je kuna mtu humu ana fununu au uelewa wa jambo hili aliweke...
Rafiki yangu alinunua online raba za kukimbilia (Joging) kwa jumla ya $23.50 Zilipofika posta alidaiwa something like 55,000shs?
Naomba kujua formula ya kukokotoa Gharama za parcel iliyotoka nje...
Habari zenu wakuu!
Natafta vifaa vya chips used Mbeya mjini Kama kuna yeyote anauza naomba tuwasiliane pm.
Nahitaji eneo Mbeya mjini Kama kuna mtu anaeneo naomba tuwasiliane pia.
habarini wakuu , mm ni mtumishi na nifanikiwa kukopa benki sasa nalikuwa nahhtaji kuongezea mkopo ,, mwenye uelewa kuhusu loan top up anijuze
natanguliza shukurani
Naomba mtu anayefuga anisaidie experience, Ni kuku aina gani wazuri, wa nyama au wa mayai? Wa kienyeji ama wa kizungu ama chotara? Naweza kuanza na kuku wangapi? Na chakula wanakula kiasi gani kwa...
Frame ya biashara inatafutwa
Maeneo yafutayo ndio kipaumbele
1. Goba
2. Tabata
3. Mbezi mwisho
4. Mwenge
5. Manzese
Etc
Pango isizidi 200K kwa mwezi isipo kua kariakoo.
Maeneo mengine pia...
Wanajamvi, naomba unijuze bei za mashine za kukoboa, kupack kusaga ili kupata unga wa mahindi. Maana naona tu ..... super sembe. Hata za kukoboa mpunga na kupack mchele, mnisaidie bei zake...
Anatafutwa kijana/dada wa kuuza samaki wabichi aina ya sangara kutoka mwanza. Kila siku atatakiwa kutembeza vipande 25 vya samaki. Malipo ni 4,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 112,000. Chakula na...
Jaman wana JF. Naombeni ushauri juu ya kuweka pesa kidogokidogo kwa ajili ya malengo niliyojiwekea.
Nilianza kufanya hivyo tangu mwezi August 2018. Sasa nakuja kuangalia jana pesa zilizokwepo ni...
Wadau naomba kujua wapi nitapata aina hii ya mifuko kwa bei ya jumla kwa Dar au Arusha. Au hata kama ushawahi kununua bei zake zinaendaje. Maan naona ndio itakuja kuwa mbadala wa mifuko ya nylon...
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu...
Nimeshangaa kukuta bei tofauti za mafuta ya Petroli katika Petrol Stations mkoani Kagera.
Hivi hawa Ewura ambao ndio wadhibiti wa Nishati hii (Petrol)...
Baada ya selikali kupitia waziri mkuu akiagiza wazalishaji wote wa pombe wafunge mashine zitakazo kuwa zina bandika stempu za kodi mpaka sasa ni banana investment tu ndie aliye aandikishwa TRA...
fursa.
natafuta kijana umri miaka 18 - 30. Awe anajua kushona na kudesign nguo kwa cherehani.
Nataka kuingia ubia wa kufanya kaz pamoja.
Mtu yuko interested anifwate inbox.
Hello guys kwema. Naamin mpo sawa sawa
Naomba kwa mfanyabiashara/ mjasiriamali anaeuza kuku wa kienyeji pure na kuku wa kisasa broila tafadhali naomba tuwasiliane tufanye biashara...kwa Dar es...
Listed below is detailed summary of the procedures, time and costs to build a warehouse -including obtaining necessary licenses and permits, completing required notifications and inspections and...
Dear SUA Graduate business owners,
I hope this message finds you well.
I am a founder of what we call Sokoine University Graduate Entrepreneurs Cooperative Society LTD (SUGECO). This...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.