Nahitaji muongozo na ushauri katika biashara ya video keno

bill255

Member
Jun 11, 2019
9
4
hello JFs, ninahitaji muongozo na ushauri katika biashara ya video keno.Nini cha kuwa nacho, mtaji, faida, hasara na kila kitu kinachohusiana na biashara hiyo.Ninaomba ushauri.
 
achana nayo..bora ukacheze roullete upande wa black au red
Hiyo mbaya sana, ni kama ina sense hivi. Mimi nimejaribu imenipiga kama mara 2 hivi.
Kuna games ziko PMbet ukicheza uhakika wa kushinda ni 70% . Mimi nimenunua bodaboda 3 kwa hizo online casino za PMbet.
Ila mtoa mada nadhani amemaanisha kuwa anataka aanzishe center za hizo games na si kucheza
 
usicheze online...cheza kwenye center..1x bet nlieapiga sana kwenye coin flipping either head or tail..baadae nikawa nalose..nikaacha,,nikafta watasha wanaojua izo kazi wakasema "ukiwa online unacheza izo game na unakula,wanaanza ku trace account yako na kukukosesha..na ukitaka uamini hilo fungua account mbili..moja mpya na ile unayowapga sana..unakuta kwenye coin flipping within the same time coin imerushwa ila majibu yanakuja tofauti....ila pm bet ntajaribu nione
 
Asante sana.
Kumbe.
 
Back
Top Bottom