Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wana JF, naomba kufamu kama kuna uwezekano wa kufungua duka la bidhaa ya matumizi madogo madogo ukiwa na mtaji wa Tsh. 1,000,000. Mawazo yenu ni mhimu sana.
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kuna mwenye ufahamu kuhusu hili, nakumbuka kuna wakati walifuta kodi kwenye kompyuta je iko hivyo kweli? Kuna wakati niliagiza laptop battery na RAM kutoka amazon nikapigwa kodi je kwa laptop...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wana Jfm naomba kuelekezwa kwa upande wa EFD machine,Nafanya mauzo kwa wateja ambao hawana TIN namba na VRN.Naomba kuelekezwa jinsi ya kuweka jina la mteja ili nikimkatia mteja risti jina...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Serikali Iache Upotoshaji Takwimu za Pato la Taifa Ndugu Wanahabari, Mtakumbuka Kamati Kuu ya ACT Wazalendo iliyokaa Oktoba 27, 2017 ilifanya uchambuzi juu ya hali ya uchumi wa nchi yetu, na...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi em tujuzeni mliopo fronti hivi DIAMOND KARANGA zinaendeleaje sokoni? naona matangazo yote kimya na madukani nilikozoea kuziona sizioni tena.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hali vipi Wadau! Nilitaka kujua namna ya kupiga hesabu duka la reja reja, yaani kujua faida iko vipi kama umeweka msimamizi. Hesabu haijapigwa tokea mwaka jana mwezi wa kwanza na kama tunavyojua...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa anayependa kuwa na kiwanda au kampuni ya kutengeneza vyoo vya plastic vinavyohamishika please chukua hili wazo. Anza kulifanyia kazi. Soko 1. Uswahilini 2. Vijijini 3. Sehemu zenye mikusanyiko...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Jiajiri kwa kuanza kutengeneza power bank, generator, jiko nk kwa kutumia mkojo kama chanzo cha nishati mbadala. Part 1 Hii ndio dunia watu wengi , watu wachache.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuu! Naomba niulize moja kwa moja hili swali ili niweze kupata majibu na mchanganuo kwa kina. Ni hivi...... Je, ninaweza kufungua kampuni kwa ajili ya kumwagizia mteja vitu...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Nikumbushe kisa kimoja cha ukweli kabisa ingawa ni cha siku nyingi. Yupo mchaga mmoja ambaye alikuwa amebahatika kupata ajira hapa Jijini, baada ya muda fulani akaamua kutafuta sehemu ambayo...
27 Reactions
339 Replies
82K Views
Wakuu naomba kuuliza ni kampuni gani inayo husika au utaratibu gani wa kufuata ili kutuma cheni saa hereni na vito nje ya nchi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Za saa hizi jamani Kuna vifaa nauza bado vipya na kwa packaging yake Drip tapes(mipira ya kilimo cha umwagiliaji) kwa mita 1000 tsh 230,000 Greenhouse 12 by 20 mita na insect net yake tsh...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Umeme wa Uhakika ambao Utachochea Uwekezaji kwenye viwanda na kuongeza Fursa za Ajira kwa Watanzania.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi! Nipo katika harakati za kujifunza kujaza hiki "P.A.Y.E-DETAILS OF PAYMENT OF TAX WITHHELD" Nimeshindwa kuelewa vitu hivi; 1. Taxable amounts 2. Tax due Hii taxable amount...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Do you want to start any of the following 60 businesses ? Tyres Retail - New Real Estate Agency - 42 pages Executive Barber Shop - 42pgs Petrol Station (Independent) - 47pgs...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Wajameni mnaendeleaje na maisha? Kuna muuzaji mkubwa wa samaki aina ya lobsters anatafuta soko, natafuta contacts za viwanda na kampuni za samaki zinazonunua samaki hawa, au kama una taarifa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina jiwe ambalo kwa tathmini zangu za awali ni Madini mojowapo yanayopatikana kwenye mkanda wa Almasi(Diamond), naomba msaada wa mawazo niende sehemu gani kwa uhakika zaidi wa jiwe hili Sent...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu katika pita pita yangu ya hapa na pale katika maisha nilikuwa nafikiria mara mbili mbili kuanzisha biashara ya real estate hapa tanzania mimi naona ni biashara ambayo inalipa kama mtu ukiwa...
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Nahitaji watu walio serious hapa jamii forum na nje. Tufanye mradi wa maji yaani kuchakata maji magumu kuwa laini. Project Investment ni Tsh. 15,000,000 mpaka Tsh.30,000,000. (Sina uhakika kiasi)...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu habari. Wataalam wa tanzanite naomba kufahamu Katika picha hii hapa chini n madini ya TANZANITE
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom