DStv punguzeni bei ya vifurushi vyenu kwa ushindani

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,233
12,508
Kifushi cha 100000, 80000 na 60000 kwa watanzania Wa leo ni ghali sana kwao kununua majumbani mwao. Iko siku soko la Tanzania litawawia gumu. Wengi wanaonunua dstv ni kwaajili ya EPL basi ambayo lazima wawe na kifurushi kisichopungua sh.80000+
 
kwa kweli imezidi mno wako juu mno kilo kwa mwezi mmmhhhh
 
Siku azam watakapoanza kurusha EPL ndipo dstv watakapokimbiwa na zaidi ya nusu ya wateja wao.
Nadhani kuna channels nyingi sana za kimataifa ambazo huwezi kuzipata kwingine isipokuwa DSTv, hivyo hata Azam wakirusha EPL bado DsTv wana mwanya mkubwa wa kuwa kwenye ushindani.
 
Kifushi cha 100000, 80000 na 60000 kwa watanzania Wa leo ni ghali sana kwao kununua majumbani mwao. Iko siku soko la Tanzania litawawia gumu. Wengi wanaonunua dstv ni kwaajili ya EPL basi ambayo lazima wawe na kifurushi kisichopungua sh.80000+
Acha uwongo, vifurushi vya epl siyo 80000+ kama unavyosema, labda ulihadithiwa na jirani yako ambae naye alihadithiwa....huna dstv!
 
Kifurushi cha chini ni kipi dstv ie bei gani?
Jina la kifurushi: DSTV Bomba
Bei: TZS 19,000
Channel list
upload_2018-5-28_9-35-31.png

Mengineyo: Tembelea ukurasa wao: bit.ly/2IUu9ft
 
Bei yake please nani nijichanganye
Bei ni ya kawaida, inategemea unalipia kifurushi gani kwa ambayo ninailipia mimi, inacheza kati ya 110,000/- 100,000/- compact plus, it is very satisfying. 110,000/- ukigawanya kwa siku 30 ni kama 3500 kwa siku, ki-bongo bongo siyo mbaya. Siwezi kuelezea gharama za ku- connect kwa sasa, kwani nilijiunga nao zaidi ya miaka kumi iliyopita, hivyo kwa msaada zaidi tembelea ofisi zao.
 
Nadhani kuna channels nyingi sana za kimataifa ambazo huwezi kuzipata kwingine isipokuwa DSTv, hivyo hata Azam wakirusha EPL bado DsTv wana mwanya mkubwa wa kuwa kwenye ushindani.
Azam wanasafari ndefu sana ya kuja kurusha EPL na nitakupa sababu kuu kwanini. sio suala la pesa Bakhresa pesa anazo anaweza japo ni pesa ndefu. tatizo linakuja unajuwa EPL wanavyonadi package zao ni kwa zone mfano kuna Middle east plus N.Africa halafu kuna rest of Africa na ni kwa sababu N.Africa ni waarabu. ili Azam aweze kupewa kwanza ni lazima awe amefikia soko la Africa lote kwa maana EPL ni product na EPL ili waauze wanatafuta mtu anaweza kufikisha product kwa wateja wote hilo Azam bado sana ata fail katika bidding. jingine ni secure system ili matangazo yasiweze kuibwa na infastructure kama studios na uhakika wa matangazo. Sababu kuwa DSTV wataendelea kurusha EPL ni hawana mshindani na wako kila kona ya Africa ni kama chanel ya Africa. ukweli AZAM kwa sasa abaki huko la liga sababu product ya Liga wanauza kwa kila mtu ila EPL wana vigezo vigumu sana ndio maana product yao ghali sana. kuna wakati Beinsport walizuiwa kurusha all games sababu haikuwa 100% secure from piracy mpaka waka correct.
 
Bei ni ya kawaida, inategemea unalipia kifurushi gani kwa ambayo ninailipia mimi, inacheza kati ya 110,000/- 100,000/- compact plus, it is very satisfying. 110,000/- ukigawanya kwa siku 30 ni kama 3500 kwa siku, ki-bongo bongo siyo mbaya. Siwezi kuelezea gharama za ku- connect kwa sasa, kwani nilijiunga nao zaidi ya miaka kumi iliyopita, hivyo kwa msaada zaidi tembelea ofisi zao.
Ninayo tayari lkn bei zilinikimbiza . compact plus unapata BBC, CNN, geographical, au? hizi ndizo bomba na mipira (ingwa sina ushabiki wa mpira)
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom