Natafuta Partner wa Biashara ya Petro Station

realinvestor

Member
Nov 19, 2018
10
10
Natafuta serious Partiner wa kufanya nae biashara ya Petrol Station. Nina kiwanja tayari chenye ukubwa wa sqm zaidi ya 3000,eneo lina future ya biashara kwa kuwa hakuna kituo cha mafuta maeneo jirani,Kiwanja kimeshaingizwa ktk ramani za mipango miji imebaki kufainalize some process and payments, mashine ninazo jumla zipo tano 5 za petrol,diesel na mafuta ya taa..Budget yote ya makadirio ilikuwa kama 250 milioni,niliandaa workplan and budget mwenyewe,tunaweza kuziboresha na kuandaa business plan..
Any serious person namkaribisha PM tuzungumze.Awe na capital ya kutosha,mipango mizuri yabiashara na awe business oriented person.Its a serious deal!
 
Mkuu naweza kukupa ushauri ukaifanya hiyo biashara mwenyewe bila kuungana na mtu, nimefanya hivyo na niko mbali sana kwa sasa. Kama utakua tayari ni PM.
Ushauri wangu utaulipia 1.5% of your workplan which is 3.75 millions.
Ntakupa ushauri na njia za kupita huku mipango yote nikiifanya mwenyewe hadi kazi yako inakamilika kwa 100%. Good luck
 
Hmmmmmm
 
Mkuu hongera kwa kuwa mbali ila ningetegemea kama upo mbali ungetoa msaada buuure kabisa ili ndugu yako nae awe mbali na ungekua wazi tuu hapa bila kufatana PM kama unachozungumza unamaanisha...
 
Nenda Oryx au total wankuwa interested na hayo lkn hakikisha eneo lako lina vibali from Nemc,Ewura etc na pia linaweza kuuza litre za mafuta kuanzia hata elf4 kwa siku au hata elf3 Hao ndio serious partners sabb hawana magumashi
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu ila total niliwahi kuwafuatilia sabasaba wakanieleza wao huwa wabakodisha eneo sio ubia
 
Nenda ofsn huyo aliekujib sabasaba hana mamalaka makubwa nenda kaonane na wachaga wapo pale as long mtahakikishiana commission zao watakusaidia
 
Mimi nina wawekezaji wanaotafuta vituo kwa ajili ya kukodi location inayotakiwa ni city centre apa dar es salaam au kama ni nje kidogo ya mji kuwe na biashara ya uhakika. Kwa details zaidi nawakaribisha pm
 
Mkuu naweza kukupa ushauri ukaifanya hiyo biashara mwenyewe bila kuungana na mtu, nimefanya hivyo na niko mbali sana kwa sasa. Kama utakua tayari ni PM.
Ushauri wangu utaulipia 1.5% of your workplan which is 3.75 millions.
Ntakupa ushauri na njia za kupita huku mipango yote nikiifanya mwenyewe hadi kazi yako inakamilika kwa 100%. Good luck
OUT OF TOPIC:

Unapendekeza profit cap ya asilimia ngapi per product or service iwekwe after the overall deductions of all the production costs plus wages ili angalau biashara ipige hatua ?
 
Natafuta serious Partiner wa kufanya nae biashara ya Petrol Station. Nina kiwanja tayari chenye ukubwa wa sqm zaidi ya 3000,eneo lina future ya biashara kwa kuwa hakuna kituo cha mafuta maeneo jirani,Kiwanja kimeshaingizwa ktk ramani za mipango miji imebaki kufainalize some process and payments, mashine ninazo jumla zipo tano 5 za petrol,diesel na mafuta ya taa..Budget yote ya makadirio ilikuwa kama 250 milioni,niliandaa workplan and budget mwenyewe,tunaweza kuziboresha na kuandaa business plan..
Any serious person namkaribisha PM tuzungumze.Awe na capital ya kutosha,mipango mizuri yabiashara na awe business oriented person.Its a serious deal!
HABARI, SAMAHANI MBONA PM YAKO INAGOMA? NAOMBA UNIPM TUZUNGUMZE ABOUT CERTIFICATES ZA LAZIMA KUWA NAZO ILI UPEWE LICENCE YA KUUZA MAFUTA
 
Back
Top Bottom