Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu na nilikuwa na mtaji wa mil 1.3 plan zangu zimelenga kufungua sehemu ya fast food au street food Ambayo hasa itakuwa na product ya kuku na samaki na vitafunio kama...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanajamvi! Ningependa kujua kama kuna wafanyabiashara wa mitumba hasa kwa morogoro mjini, vipi hali ya biashara na changamoto zake!
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hi If you rack brains to find perfect oil and gas business In Tanzania. Investing your cash in petroleum products supply business is a wise decision. In this post, I expose you some facts enable...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Japan Ni nchi iliyoendelea Lakini maendeleo Yana gharama kubwa pia. Mfano mtu akifa Japan kutokana na ukosefu wa ardhi eneo la kuchimba kaburi lazima ununue na linauzwa kwa dola za marekani...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu Igweeee Naitaji kutengenezewa nguo yan kama uniform za kampuni yangu sasa nilitaka kujua kwa yoyote mwenye uzoefu na viwanda vya China ambavyo vinaweza kunifanyia kazi yangu vizuri na kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua jinsi ya kutengeneza pesa kupitia mtandao anisaidie naomba
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Wakuu habari, wakubwa naomba kujua ni kiasi (amount )gani inatakiwa kwenye kuanzisha kiwanda cha kutengeneza mfuko mbadala.hii ya kisasa ambao imechukua nafasi ya rambo
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni Engineer mwenye Elimu ya Kiwango cha Masters, Nakaa DSM Natarajia kuanzisha biashara ambayo partly inahusu fani yangu. Nimefashafanya kazi ya awali ikiwa ni pamoja na utafiti, mpango wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepita Chato kwa Raia namba 1 Tz nimeshangaa barabara za lami zinavyojengwa mpaka vijijini lakini wajengewa hawaoni thamani ya barabara hizi na kuzitumia kinyume na matumizi kusudiwa. Wanapanga...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wenzangu wapendwa, Kufuatia uamuzi wa mahakama leo, Acacia Mining Plc na shughuli zake sasa zinakuwa sehemu ya Barrick Gold Corporation na tunawakaribisha katika familia yetu. Barrick ilidhamiria...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni wazo langu tu limenijia humu Jukwaani,kuna watu tunakuwa serious tunahitaji huduma fulani ila na humu jukwaani kuna watu wasio waaminifu pia wanakuwa serious kuharibu malengo ya watu na wengine...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani wazoefu mnaweza Nisaidia eti mtaji wa duka la hardware unaweza kuwa shingapi???
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wadau, Je naweza kwenda China na bank visa card ya Crdb na nikaweza kutoa pesa?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mwanakijiji kaniletea jiwe ni la chuma dogo sana hata kiganja hakijai ila nimelipima lina kilo 2.3 kiukweli mimi sjui mambo ya red mercury nasikiaga tu ila hili jiwe wanadai ndani lina red...
2 Reactions
24 Replies
9K Views
WAAGIZAJI wa bidhaa na mawakala wa forodha nchini, wamepatiwa elimu kuhusiana na taratibu za uingizaji wa bidhaa nchini pamoja na usajili wa maghala ya kuhifadhi bidhaa za chakula na vipodozi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf habari, Ninaomba ufafanuzi jinsi ya kuweka akiba maana mimi sijui jinsi ya kuweka akiba. Asante
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Greetings. Leo tunakutana tena jioni hii kwa kwaajili ya darasa muhimu kabisa ambalo naamini litakusaidia kuona mambo unayokosea katika Hustle zako na namna gani unaweza kubadilika. Kwa kuanza...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
1 • 90% ya watu hawasave pesa. Ndiyo maana 90% ya watu ni masikini. 2 • Watu wengi wanapoteza Pesa kununua vitu wasivyohitaji kwa pesa wasizokuwa nazo ili kuwafurahisha watu wasio wajua. Think...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mnao faham naombeni mnisaidie kuusu hili. Kwanini vifurushi vya Vodacom vina bei sana tofauti na mitandao mingine kama Tigo, Airtel...... Ni kwamba vodacom wameridhika sana na wateja wengi...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimejaribu kutafakari aisee sisi watu wa hali ya chini kutwa tupo fb tena bas tujadili masuala yenye kuleta ustawi lkn ajabu tunashindana kubishana masuala yasiyo na faida yoyote kwenye maisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…