Naomba msaada wa namna ya kuweka akiba

myama sana

Member
Jul 15, 2019
17
12
Wana Jf habari,
Ninaomba ufafanuzi jinsi ya kuweka akiba maana mimi sijui jinsi ya kuweka akiba. Asante
 
kama unalaza 50,000 mkuu kila siku ww ni tajiri mkubwa sana hujajua tu. sasa kinachofanya ushindwe kusave ni nn ? matumizi ya pombe, wanawake, ku bet, au matumizi yasiyo na mpangilio ? ebu funguka alafu nikupe plan ya kusave waweza ipenda .
Kwa sku nalaza 50,000
 
Me kote huko sipo ila ninashidwa kuitunza ela nikiweka nkijarib kuweka akiba nikipiga hesab niona ni kias kdg natumia tu
 
Mkuu maelezo yako mbona mepesi sana ?ebu fafanua vizuri ushauriwe kulingana na unavyoishi kwa hicho unachopata
 
Back
Top Bottom