Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari zenu wakuu Kama kichwa kinavyojieleza’ hivi unahitaji mtaji wa kiasi gani ili kuanza biashara ya chakula? (Catering) ukitoa kodi la pango, I mean vyombo na nafaka Pia changamoto zake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ipo kwenye good condition...used 2 months only..battery health 85%..running iOS 13..850k
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu wa JF. Napenda kuwatangazia na kuwafahamisha kwamba ninawezesha na kusaidia kusajili kampuni kwa njia ya mtandao kwa muda usiyozidi siku mbili . Hivyo basi nasajili kampuni za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
..
0 Reactions
10 Replies
3K Views
UBALOZI WA MAREKANI TANZANIA-WATANGAZA FURSA KWA VIJANA WOTE WENYE PROJECTS AU MAWAZO YA BIASHARA YATAKAYOSAIDIA JAMII🇹🇿...
6 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wadau? Natafuta eneo la jiko la kukodisha kwenye bar au eneo lolote lenye mzunguko wa watu. Mwenye info ani PM.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sect 87 RTA...."A police officer may after stopping any motor vehicle or trailer which he reasonably suspects of being or having been (driving without having d/licence) or used or involved in the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati watalii wakiikimbia Kenya kutokana na uchafu unaosababishwa na uzembe, Tanzania imekua ndio kimbilio lao, hivyo kuchangia katika kuongeza uchumi wa nchi. Tanzania imekua ikiongeza mauzo...
3 Reactions
1 Replies
917 Views
Nauza simu aina ya galaxy s6edge ni used kwa miez miwili tu ipo vzuri. Ram gb 3 Rom gb 32 Bei laki tatu tu.(300000) biashara maelewano njoo pm usiogope. Phone no: 0655621320
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wanajamvi Nina mshukuru Mungu kwa kunipa uhai na pia kuniwezesha kuwa mmoja wa wanajamvi. Suala la muhususi ninahitaji ushauri wa kibiashara, Nina laki sita hapa kwenye...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu pole Na majukum pili pole kwa kuchelewa kwa ndege Yetu kule Canada, pili tusubiri makinikia, Ila kama nilivyowaambia ninafungua project hii ni maalumu kwa mama ntilie Na watu wa...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za mdaa juu wana jf,Leo nimekuja kwenu nikiomba kufahamishwa hasa juu ya gharama za uwekezaji kwenye uchimbaji mdogo wa dhahabu hasa kwa mkoa wa singida,Dodoma ,Tabora na Shinyanga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar za leo wanafamilia ya jamii forums Nimepata kamtaji kadogo kwa kudunduliza dunduliza nkawaza kufungua duka la nafaka.... nimepata sehem hapa hapa dareslam ila nahitaji kupata connection ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni mwanamke mjasiriamali. Nimewaza na Nimeamua kutafuta marafiki wafanyabiashara hasa ya madini ili tupeane uzoefu na tekniks za kuhusu hii biashara (how to handle the game). Iwe ni kota...
34 Reactions
314 Replies
25K Views
FURSA SI NDO HII SASA! Ushauri wenu wakubwa ni muhimu sana, September mosi nina mpango wa kuanzisha kabiashara haka, Niko dar es salaam , Mkopo rahis wenye mashart nafuu, Nitaanzisha ukopeshaji...
4 Reactions
69 Replies
12K Views
Samahani wadau.... Naomba kujuzwa mahala au mtu anayenunua mazaga hayo ya kale. Pia, unaweza nivheki PM tukayajenga. Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za Kazi wadau wa maendeleo. Tunatafuta MTU anayeweza kutudhani, au kufanya naye kazi kulingana Na wazo letu kuanzisha kiwanda kidogo cha bites bajeti ni 2,705,000. Mdhamini atanufaika...
4 Reactions
28 Replies
7K Views
Aina; German Shepherd Jinsia; dume Umri; miezi 6 Mahali; moshi, Kilimanjaro Mawasiliano; 0783961260 au 0685065677
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji, kutafuta mtaji wa kufunguaa saloon ya kiume ila sijajua gharama za saloon yenye standard. Faida zake, makusanyo yake nayabana vipi kwasababu nataka kumewekaa mtu,pia ningependa kujua...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za mchana wana jamvi, Husika na kichwa cha habari hapo kama kinavyojieleza nilikua nahitaji mkopo wa million 10 bank kwa ajili ya kutanua biashara yangu lengo la kuanzisha uzi huu ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom