Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za mchana wana jamvi, Husika na kichwa cha habari hapo kama kinavyojieleza nilikua nahitaji mkopo wa million 10 bank kwa ajili ya kutanua biashara yangu lengo la kuanzisha uzi huu ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndoto yangu ni kutengeneza usd 50,000$ ndani ya miezi sita!inaweza kuwa ni ngumu lakini inawezekana kabisa kama ukitumia Juhudi,nguvu na maarifa ya kibabe zaidi! Ni ukweli usiopingika kwa maisha...
11 Reactions
74 Replies
10K Views
Natafuta mteja wa kumuzia hisa zangu za voda nazo hisa elf 5 nauza zote tuwasiliane kwa no: 0683 964738
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Vijana wasomi wamesambaa nchi nzima na hawakai eneo moja wanawaibia hela MPESA, AIRTEL MONEY, TIGO PESA nk tuwe makini hasa watoa huduma za hii mitandao ya fedha
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu, na hamu ya kuanza kuwekeza kidgo kidgo katika masoko ya fedha na mitaji. Hapa nilipo sifahamu chochote kuhusu haya mambo. Elimu ndo moja ya njia ya kujua mchakato mzima. Nimekiona hiki...
1 Reactions
8 Replies
8K Views
WATU WENYE ROHO MBAYA NDIO WANAOFANIKIWA MAMAISHANI. Dunia imebeba watu wa kila aina,wachapa kazi ,waviviu,wanyonyaji,majizi ,wachawi nk. Kuna makundi ya tabia mbali mbali, kuna wapole ,wenye...
8 Reactions
31 Replies
7K Views
Salaam wana jamvi Asubuhi hii nilitakiwa kutumiwa pesa kwa njia ya simu (Mpesa) ila imeshindikana. Watoa huduma wa Rwanda wamesema kuna mambo hayapo sawa na wanasubiri mashauriano katika ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mexico ni eneo la neema kwa wafanya biashara wa madawa ya kulevya. Ni nchi inayounganisha nchi nyingi za amerika ya kusini na marekani. Nchi nyingi za amerika ya kusini huuza kilo ya cocaine kwa...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za Jioni Wakuu! Naomba niende moja kwa moja kwemye mada bila kuchelewa. Kuwa na miundo mbinu ya kisasa kama tunavyofanya kwa sasa ni muhimu kwa nchi. Lakini viongozi wetu wanajisahau...
1 Reactions
0 Replies
883 Views
Nimepitia thread kadhaa hapa zikieleza namna ya kufungua kampuni na kukamilisha taratibu zote. Nimefaidika sana na nyuzi hizo. Mimi ninataka kufungua kampuni ya familia ambayo itakuwa na biashara...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Kazi yetu ya aluminium windows toka infinity works asante mdau wa jf kwa kutuungisha. Wengine karibu sana namba zetu ni 0620775867
3 Reactions
14 Replies
8K Views
Nimeshangaa kusoma nissani kmpuni ya kutengeneza magari ina mpango kupunguza nguvu kazi juu mauzo yameshuka mbaya ======= Nissan to cut 12,500 jobs as quarterly net profit plunges THURSDAY...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natumaini hamjambo, Mnamo tarehe 30/08/2019 nilipost ujumbe wenye kichwa cha habari kama kinavyosomeka hapo juu Kwanza kabisa natanguliza shukrani kwa wale waliokuja PM kwa nia njema ya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu naomba kwa anaejua kuhusu mnada uliopo maeneo ya pwani kati ya kisarawe na maeneo mengine karibu na Dar naomba kujua kuhusu ratiba za minada hio kwa anayefahamu Nk.mnada...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu za jioni Hapa jijini Mbeya cement aina ya Nyati na Supaset zimekuwa adimu sana. Ukizingatia hizi cement ndio cement zinazo tumika mara nyingi sana kwasababu ya nguvu yake yaani 42.5...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, ninatafuta mtu wa kushirikiana nae kwenye biashara ya kuuza chakula maarufu kama Mama Lishe. Ninapendelea huyo mtu awe na uzoefu wa biashara hiyo kwani atakuwa mpishi mkuu.Pia...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Habar wadau. Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu wa kuagiza vitu kwenye mitandao hasa ebay,namna gani wanafanya hadi kufanikiwa kuupata mzigo,njia ya kulipia,pa kwenda kuchukulia na kodi zake. Maana...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari ya majukumu ndugu zangu, Mimi nahitaji kufungua kampuni ya mikopo ambayo mwanzo niliwaza kufanya mwenyewe (Sole proprietorship) ila katika process nikashauriwa nifanye hii kitu katika...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nahitaji mtu mwenye simu ya Phantom 8tecno offer200k
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wadau, Katika taasisi mbovu hii imepindukia kiasi cha kuhatarisha maisha ya wananchi. Wamefuta baadhi ya makundi yaliyokuwa wanachama wao pasipokutoa taarifa yoyote kitu ambacho ni...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom