Shalom
JF-Expert Member
- Jun 17, 2007
- 1,315
- 124
Aibu kubwa kwa nchi yetu inayoletwa na nyie nyie Airtel. Vodacom na Tigo kwa kukazania kuongeza minara Tanzania nzima huku mkiacha service yenu ikiwa mbovu kabisa. Huwezi amini kuwa ndani ya Dar hii maeneo mengi tu hupati kabisa reliable internet service. Hawa Vodacom ndiyo kituko kabisa eti wanagawa vibrochure kuwa unaweza kupata DSTV kwenye simu yako! Ma-- yenu. Kuload tu twitter just 7 km kutoka head quarter yenu unachukuwa saa nzima. Kama ninawaonea imenibidi leo niingie shule ili niweze kujua coverage ya hao majambazi ( maana kumwambia mtu eti tuna internet 3.7G halafu hamna kitu si ni ujambazi huo). Mtaalamu wa computer akanifundisha hebu na nyinyi jaribuni akaniambia kuwa unakwenda kwenye start halafu una type CMD halafu ikija c prompt una type tracert space Ip address simple tumia ya google 8.8.8.8 halafu angalia. Professionary inatakiwa ni 100ms for 3G na !40Ms kwa 2 G. lakini kwa hawa majambazi karibu kila kona ya hili eneo ni more that 2000 na time out kibao. HIvui hawa TCRA wapo kweli? TCRA kazi yao kubwa wanayoifanya hapa tanzania ni 1. Kupeana safari za kwenda Ulaya, kila staff anakwenda kwa wastani wa safari 3 kwa mwaka ulaya na kupata un necessary per diem. 2 kila staff anapewa mkopo wa kujega nyumba mradi alete hati ya kiwanja ( yaani shirika la umma limekuwa ni benki ya nyumba) Baada ya kufanya hivi basi wame waachia wezi kufanya wanachotaka. Hakuna checking wala nini ni full speed kuwaachia hawa majambazi watuibie hela zetu. Tunaibiwa kwa sababu hawa majambzi yanakuambia kujiunga unlimited kwa wiki ni TZS 10,000 wegine hata zaidi ukiwa posta wametegesha network yao vizuri basi unapata coverage nzuri sana. lakini posta pia watu wengi wanapata Wifi kutoka kwenye ofisi zao. Ngoma sasa pale unapotoka mjini kurudi huku wenyewe wanakoona kuwa hamna haja ya kuwa na coverage nzuri. Wiki nzima uliyolipia unaishia kupta kama Mb 200 kutokana na coverage yao. Huu ni wizi na TCRA wanatakiwa kuamka. Udhaifu wa CCM na viongozi wao basi unafanya tuibiwe kila kona hamna wanalosimamia na kufanikiwa. Kazi yao ni kueneza tu habari za Fremason basi sasa kila mtu yuko kwenye site za Free mason na network yenyewe ndiyo hiyo. Afadhali hawa wezi wangelipa kodi kwa wizi huuu lakini hata kodi hawalipi. Shame on you all ( Vodacom, Tigo, Airtel and hili ***** TCRA)