Machinga Dar wapewe semina elekezi ya kupanga biashara zao ili sisi wateja tuache kuvunjwa miguu na boda boda na bajaj

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana jf.

Tangu kubarikiwa machinga kupanga bidhaa zao barabarani. Sasa imekuwa kufuru hadi sasa hakuna sehemu ya kupita zaidi ya kuonewa huruma na wenye magari yao wakikukwepa kama mpira wa erasto nyoni. Basi wapewe semina elekezi ya kupanga bidhaa. Sasa hivi hadi taa za barabarani zimewekwa nguo na nguzo za umeme wametandika mashuka. Mwendo kasi bila kupiga honi kama vile wanakimbiza mgonjwa hawapiti kabisa.
 
Back
Top Bottom