Habari: Naomba msaada, nina Project Proposal ila sina sehemu ya Kuiwasilisha

anonymousafrica

anonymousafrica

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Messages
347
Points
250
anonymousafrica

anonymousafrica

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2016
347 250
Habari mwana au wana JF, baada ya masomo yangu shahada ya kwanza ya mawasiliano ya umma na uandishi wa habari nimeweza kutoka na utaalam fulani wa kuandika proposals mbalimbali.

Hapa karibuni nimeandika proposal itakayoweza kunisaidia kuanzisha jarida la wanawake. Jarida lenye mambo mengi siwezi elezea yote lakini dhumuni kubwa ni kuandika taarifa za wanawake mbalimbali ambao ni wawajibikaji.

Hii itasaidia kuamsha wanawake wengine ambao wamekatazwa.hawaoni njia au wanaona hawastahili kufanya shughuli zozote za uzalishaji. Wanafunzi, wanawake kwenye taasisi na waliojiajiri pia.

Project yangu imeisha (kimaandishi) mpaka ''budget'' ipo vizuri lakini sina sehem ya kuiwasilisha kwakua idea ya kufanya kitu ninayo ila uwezo wa kuanzisha na kusimamia peke yangu siwezi.

Uwezo wangu ni kurecord na kukusanya datakudesign jarida na kupangilia masuala yotekiufupi utekelezaji kwangu sio shida. Shida ni gharama .

Ahsante naomba msaada wako
 
kulubule

kulubule

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
2,743
Points
2,000
kulubule

kulubule

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
2,743 2,000
Habari mwana au wana JF, baada ya masomo yangu shahada ya kwanza ya mawasiliano ya umma na uandishi wa habari nimeweza kutoka na utaalam fulani wa kuandika proposals mbalimbali.

Hapa karibuni nimeandika proposal itakayoweza kunisaidia kuanzisha jarida la wanawake. Jarida lenye mambo mengi siwezi elezea yote lakini dhumuni kubwa ni kuandika taarifa za wanawake mbalimbali ambao ni wawajibikaji. Hii itasaidia kuamsha wanawake wengine ambao wamekatazwa..hawaoni njia au wanaona hawastahili kufanya shughuli zozote za uzalishaji. Wanafunzi, wanawake kwenye taasisi na waliojiajiri pia.

Project yangu imeisha (kimaandishi) mpaka budget ipo vizuri lakini sina sehem ya kuiwasilisha kwakua idea ya kufanya kitu ninayo ila uwezo wa kuanzisha na kusimamia peke yangu siwezi.

Uwezo wangu ni kurecord na kukusanya data
kudesign jarida na kupangilia masuala yote

kiufupi utekelezaji kwangu sio shida... shida ni gharama tu
Ahsante naomba msaada wako
hamachiachamwashambwa@gmail.com tuma humo hiyo proposal
 
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Messages
10,047
Points
2,000
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2015
10,047 2,000
Kuwa makini,watakuja wakujidai wanataka kukusaidia na baadae wataiba wazo lako na kukwambia halifai kisha watalifanyia kazi na kupiga pesa.
 
Smart Technician

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
425
Points
500
Smart Technician

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
425 500
Ata mimi nilikuwa na shida Kama yako ata kama proposal yangu ni tofauti na yako.
mimi nimewai andika proposal na nkawasilisha vizuri tatizo lilikuja nlikuwa sina utaalamu wa kuandika ipasavyo. vip mnaweza nisaidia nami kujua namna sahihi ya kuandika proposal
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
29,943
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
29,943 2,000
Inapendeza...

Cc: mahondaw
 
Alvajumaa

Alvajumaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Messages
2,137
Points
2,000
Alvajumaa

Alvajumaa

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2018
2,137 2,000
Nenda kamuone jokate kule kisarawe,
 
Farolito

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1,645
Points
2,000
Farolito

Farolito

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
1,645 2,000
"kwakua idea ya kufanya kitu ninayo ila uwezo wa kuanzisha na kusimamia peke yangu siwezi"

"kiufupi utekelezaji kwangu sio shida... shida ni gharama tu"

Hapo kwenye hizo kauli mbili naona kama zinapishana labda utoe ufafanuzi kidogo
 
anonymousafrica

anonymousafrica

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Messages
347
Points
250
anonymousafrica

anonymousafrica

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2016
347 250
"kwakua idea ya kufanya kitu ninayo ila uwezo wa kuanzisha na kusimamia peke yangu siwezi"

"kiufupi utekelezaji kwangu sio shida... shida ni gharama tu"

Hapo kwenye hizo kauli mbili naona kama zinapishana labda utoe ufafanuzi kidogo
neno moja

HELA
 
kutekeleza namaanisha kutengeneza jarida katika mfumo wa document
 
M

MjasiriamaliElimu

Senior Member
Joined
Nov 21, 2013
Messages
120
Points
225
M

MjasiriamaliElimu

Senior Member
Joined Nov 21, 2013
120 225
Habari mwana au wana JF, baada ya masomo yangu shahada ya kwanza ya mawasiliano ya umma na uandishi wa habari nimeweza kutoka na utaalam fulani wa kuandika proposals mbalimbali.

Hapa karibuni nimeandika proposal itakayoweza kunisaidia kuanzisha jarida la wanawake. Jarida lenye mambo mengi siwezi elezea yote lakini dhumuni kubwa ni kuandika taarifa za wanawake mbalimbali ambao ni wawajibikaji.

Hii itasaidia kuamsha wanawake wengine ambao wamekatazwa.hawaoni njia au wanaona hawastahili kufanya shughuli zozote za uzalishaji. Wanafunzi, wanawake kwenye taasisi na waliojiajiri pia.

Project yangu imeisha (kimaandishi) mpaka ''budget'' ipo vizuri lakini sina sehem ya kuiwasilisha kwakua idea ya kufanya kitu ninayo ila uwezo wa kuanzisha na kusimamia peke yangu siwezi.

Uwezo wangu ni kurecord na kukusanya datakudesign jarida na kupangilia masuala yotekiufupi utekelezaji kwangu sio shida. Shida ni gharama .

Ahsante naomba msaada wako
Tuwasiliane nikupe sehemu za kupeleka.
 
Champagnee

Champagnee

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Messages
2,843
Points
2,000
Champagnee

Champagnee

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2019
2,843 2,000
Sikia TAFUTA NGOs yoyote ambayo inadeal na mambo ya empowerment kama Tamwa, tawla cjui afu waelekeze waoneshe hio project kama nzuri watainuanua au unaweza pata kazi kabisaa.
 
Farolito

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1,645
Points
2,000
Farolito

Farolito

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
1,645 2,000
Sawa mimekuelewa Jitahidi uwe unaangalia Organisation ambazo zinatoa Finding kwa ajili ya projects mbalimbali utapata ambazo unakidhi vigezo unaaply.

Mfano hii wanatoa funding kwa ajili ya kuwajenga wanawake na wasichana na wanatoa kila mwezi kama unaweza kupitia kujua kama unakidhi vigezo vyao.

www.hervoicefund.org
 
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
6,575
Points
2,000
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined Jun 4, 2011
6,575 2,000
Pia Zile Magazine huwa ni Pure Business na wengi huwa wanaendesha kupitia yale matangazo mule ndani na makala mbali mbali.
 
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
6,575
Points
2,000
CHASHA FARMING

CHASHA FARMING

Verified Member
Joined Jun 4, 2011
6,575 2,000
Pina Proposal huwa inakuwa na kila kitu hadi jinsi ya kuanza na unaanza anzaje project. So napata shida kwamba una Proposal ila umeshindwa kuanza na kama sikosei hata pesa unadai unazo.

Je Proposal imekaaje hadi haina kipengele cha kuanza Project.
 
Forum statistics

Threads 1,325,739
Members 509,278
Posts 32,201,497
Top