Ndugu zangu wapendwa nimeweza kuanzisha biashara ya spare parts za magari makubwa na madogo Nina ofisi Kinondoni B.lakini sina stock yeyote natafuta wateja na kusupply.Na nina wateja ambayo ni makampuni makubwa sana ila kuna kitu nimekwama wanahitaji nikubali payment term ya 30 days credit ambayo kwa sasa nimekwama mtaji.Ni biashara inayolipa sana kama kuna mtaji wa kutosha hata kama unanunua spare parts hapa hapa Tanzania unaweka faida/margin kuanzia 30- 50%.Kwa Yeyote ambaye anamtaji kuanzia 20M na kuendelea anaweza nitafuta tukae tuzungumze.Frame imelipiwa,jina la biashara limesajiliwa brela na document nyingi muhimu zipo tayari na biashara ilishaanza tayari.Karibu sana wadau