Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarini wana Jamii forum, naomba msaada jamani, nataka kuingiza mbuzi kama 10 aina ya Pure boer breed kutoka nje ya Nchi katika Port ya Dar. naomba kujua taratibu zote za uingizaji tafadhali.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
''Zanzibar, Tanzania is now receiving a weekly flight from Moscow Vnukovo throughout the European winter season, operated with a Boeing B747 of Rossiya Airlines. Flights from Moscow to Zanzibar...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanaJf,naomba kuuliza,nikitaka kutoa kitabu hapa Tanzania kuhusu jambo Fulani(lolote),ili kupata ISBN number na kitabu change kupitishwa,ninatakiwa kupitia hatua gani?je kuna gharama...
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Kwa swali hili nina imani nitakua sijavunja misingi ya jamii forums Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara? Nimesoma sana posts za forex humu ndani lakini naona watu wanakula tu:):)...
20 Reactions
410 Replies
44K Views
Habari Wakuu, Baada ya ban ya mifuko ya plastic, wajasiriamali wengi walichangamkia fursa ya mifuko mbadala. But mimi kama mjasiriamali pia kuna gap nililiona, kwa sababu mifuko ya plastic...
12 Reactions
27 Replies
4K Views
Kuna mwanajeshi alikuwa anauguliwa na mwanae, akanifata nimuazime pesa ampeleke mtoto wake kwa sangoma kwa kuwa hospital wameshindwa kujua anaumwa nini. Aliniomba nimuazime kama laki na nusu hivi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa kuhusu aina zote za makato(charges) za akaunti ya kawaida hususani CRDB bila kusahau time limit ya makato hayo yaani kama ni kwa mwezi n.k
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa wakubwa shikamo wadogo zangu marahaba. Naenda straight to the topic. Niko na ndugu yangu tunabishana eti, ATM ndio Kuna charges ndogo kwa NMB Ni 950, na kwa bank teller kwa...
0 Reactions
3 Replies
967 Views
Taxing services has never been simple. For example, applying value-added tax (VAT) on financial services has been a practical nightmare. And when services and transactions are provided...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Kwa mjuzi wa madini aniambie haya ni madini gani na thamani yake ikoje mana kuna Wachina wanayachimba kwa wingi sna hapa nchini na kuyapeleka kwao. Yaweza kuwa fursa kwa wazawa pia kama tukijua...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Katika karne hii tumebarikiwa maendeleo ya makubwa mno katika teknolojia na sasa dunia imekua kama kijiji. Yapo mengi sana yaliyofanywa katika teknolojia ila internet ni teknolojia ambayo imekuwa...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
EY: Gold, drug money and a major auditor's 'cover-up' Image captionAuditor Amjad Rihan says EY covered up transactions that were "way beyond suspicion" A major accountancy firm covered up...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Habri za asubuhi wakuu, heshma kwenu Siku zote nilikua ninatamani kufanya kitu tofauti na kazi ninayoifanya, lengo la kwanza sio kupata kipato ila ni ile satisfaction ninayoipata nikiona nimeweza...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau naomba mwenye idea na biashara ya duka la simu anisaidie namna bora ya kuifanya pamoja na changamoto zake.Natanguliza shukran zangu.
0 Reactions
12 Replies
15K Views
Hili swali nimekuwa najiuliza kuhusu hii biashara ya online market Tanzania baada kupatana kuingia kwenye hii biashara kuna vijana wengi nao wakaingia huku wengi zaidi kuishindwa hii biashara...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kujua mfumo wa Islamic Banking unapataje faida kama wao hawatozi riba? Kama hawana riba wanalipaje wafanyakazi na kukodi majengo? Nakopa million 100 narudisha milioni 100 hapa mtaji unakua...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa...
5 Reactions
135 Replies
22K Views
Wakuu nipende kuwasalimia kwanza, As-salamu alaykum. Bwana Yesu asifiwe. Kama kichwa kinavyosema hapo juu, mimi ni mtu ninayefuatilia kwa kiasi mambo ya mitandao lakini kufuatilia hakumanishi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nifanyeje nipate mtaji? Nina wazo zuri lakini sina mtaji? Haya ni maswali ambayo nimekuwa nikiulizwa sana na wasomaji wa Fahamuhili.com, pamoja na watu wengi ninaokutana nao kwenye maisha ya kila...
4 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom