Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za weekend! Nina kampuni yangu nimefungua tangu mwaka 2017 lakini nilishindwa kumalizia process za kupata TIN NO. na leseni ya biashara so naomba msaada kwa anayefahamu ni vitu gani...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari za majukumu wahangaikaji wenzangu! Naomba kufunguliwa zaidi kimawazo kwa wale wenye kujua biashara ya utalii inavyoendeshwa. Naona fursa ipo kwenye utalii ila nashindwa kutumia. Natamani...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
TANI 13,100 za korosho zimeuzwa katika mnada wa kwanza wa zao hilo na bei ya juu ikiwa ni Sh 2,525 na bei ya chini ni Sh 2,468. Zimeuzwa katika Chama Kikuu cha Ushirika cha Newala & Tandahimba...
1 Reactions
4 Replies
45K Views
Habari wana jf? Naomba kujua wapi naweza kupata kitimoto kwa bei ya jumla yenye bei rahisi? Nataka nianze biashara hii kwa ajili ya kukaanga na kuuza mbichi pia Nipo Dar
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Biashara yoyote ile nje ya kuwa na huduma/bidhaa inayokidhi mahitaji ya wateja inahitaji kuwa na upekee ili kuhakikisha kwamba inafanikiwa katika soko. Katika desturi za kiafrika huwa kuna baadhi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi, Huenda wewe ni Programmer umefanikiwa kutengeneza/ ulishatengeneza tovuti/ application ya simu kwa lengo la kutoa huduma flani kwenye jamii hatimaye ikawa inakuingizia kipato. Share uzoefu...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wakuu?? Natumaini wote ni wazima wa afya na mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku Moja kwa moja niende kwenye lengo la uzi huu mimi nataka nifungue biashara yangu(...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Kwenye suala zima la biashara nimeamua kuingia miguu miwili au "kuzama mzima mzima" kwenye biashara ya mtandao! Ninafungua online store kwa ajili ya kuuza vitu mbalimbali...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Kama una blog na unataka kuongeza idadi ya vistors, nicheki PM nipige dili. Mimi nipo upande wa social media marketing, huto hitaji kulipa, tunabadilisha. Wewe utatumia blog yako kunivusha, mimi...
0 Reactions
2 Replies
774 Views
Habar wana forum ..naomba kujuzwa hili sina uelewa nalo.....mita 1 ya mraba ni 10,000/ ...Je nyumba ya kawaida ya vyumba 4 na fenc inakuwa ni mita ngap za mraba na makadirio ya jumla ya bei yake...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
STORAGE 32 RAM 3 FINGERPRINT YES LOCATION KIPATI CONTACT 0692594289 GOOD CONDITION PRICE 270000
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Habari zenu wadau? Naomba kujua, hapa Tanzania ni wapi kuna project ya kuzalisha black sodier fly larva kwa ajili ya chakula cha kuku au samaki? Au hao flies wanapatikana humu Tanzania, wakoje...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa siku za karibuni Dark tourism imekuwa inajizolea umaarufu mkubwa sana kiasi kwamba watalii wengi wanapenda kwa sasa kutembeal maeneo hayo ambayo ni Dark. Dark toursim ni utalii wa kutembelea...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wananzengo. Naombeni msaada kwa wazoefu wa hii biashara ya viatu vya mitumba vya wanawake. Nina 50000/= Kama mtaji. Vp inaweza kutosha kwa kuanzia. Pia wazoefu wa hii biashara, vp...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Naona maduka mengi Tanzania yana majina (mf. Mwajuma Electronics) lakini nasikia hawajasajili. Hii ikoje kisheria? Au ni makampuni tu ndio lazima yasajiliwe?
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Napenda kujua mbuzi kama hawa nitawapata wapi?mi nipo Tanga
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello JF, Katika threads zangu za nyuma,niliuliza mtu aliyeishia standard seven ama form four anaweza kufanya shughuli gani ya kipato Jibu ambalo lilikua common ni Kilimo na kazi za vibarua…...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Fursa ipo. Location ni nzuri na inavutia biashara, nakwama kwenye huduma ya uhakika tu ili kukamata soko kikamilifu. Uhitaji wa mtaji ndio kipaumbele changu kwa sasa. Ni milion kumi tu ndo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
baada ya kupata mda kidogo leo, nkaona nipitie taarifa kuhusu uchumi wa dunia unavoenenda kila siku na nkakutana na hii taarifa, hii imenipa hamasa ya kuja kuuliza apa forum: Je ni kweli serikali...
0 Reactions
3 Replies
863 Views
Jamani nataka kukopa ni benki gani nzuri?
0 Reactions
8 Replies
978 Views
Back
Top Bottom