Ushauri kuhusu biashara ya simu na vifaa vyake

Eizyek

JF-Expert Member
Aug 12, 2019
800
2,767
Habari ya humu ndani wakuu naombeni mwenye uzoefu na hii biashara aweze kuelezea kuhusu biashara ya simu na vifaa vyake, mtaji milioni 10 maximum.
 
Swali lako ni too general mkuu,
kuwa specific kidogo
unataka kujua nini?
Habari ya humu ndani wakuu naombeni mwenye uzoefu na hii biashara aweze kuelezea kuhusu biashara ya simu na vifaa vyake, mtaji milioni 10 maximum.
 
Mkuu kama uko mbali na dar jaribu kuwauzia machinga jumla jumla cover,screen protecters,Bluetooth earphones na vinginevyo ndani ya miezi 6 hicho kimilion 10 kitakuwa doubled
 
Back
Top Bottom