Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari ya sikukuu wakuu. Kiwanja kinauzwa 🔥Kina ukubwa wa square metres 597 🔥Kinapatikana KISOTA BLOCK 3 Mtaa wa nyuma ya barabara ya Dr Dau.(Ni mtaa ulio oposite na nyumba ya Dr Dau. 🔥Kina hati...
1 Reactions
7 Replies
458 Views
Naomba kufahamu juu ya biashara ya stationery
5 Reactions
33 Replies
3K Views
SIRI WANAZOTUMIA MATAJIRI WAKUBWA WA KARIAKOO KUENDELEA KUWA MATAJIRI NA KUTOSHIKIKA Usipozijua utaendelea kuwashangaa Ukitaka kujua Tanzania kuna matajiri, Nenda kariakoo. Hizi ni baadhi ya...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za asubuhi JF people? Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha. Watu ninaoanza nao ni...
16 Reactions
306 Replies
57K Views
Mfano kwa kila simu anayouza achukue elf 20 au Alipwe mshahara + hela ya kila siku inayofikia laki 2 kwa mwezi ?
2 Reactions
6 Replies
264 Views
Kigezo uwe na router(device yako) na huduma hii ni PREPAID sio POSTPAID
3 Reactions
14 Replies
617 Views
Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa wazoefu...
1 Reactions
0 Replies
150 Views
guest-1788672427
Kwa Dar es salaam 20,000 tu kwa siku
10 Reactions
91 Replies
5K Views
Habari za kutwa wanajamvi poleni na majukumu. Leo naomba msaada kwa wale waliowahi au wanaendelea kutengeneza faida ya Tsh 30,000 na kuendelea kila siku. Tafadhali zingatia kueleza yafuatayo...
113 Reactions
2K Replies
518K Views
Regardless of its size and funding level, every nonprofit organization has a governing board composed of people who believe in and support the mission. Board members have the pleasure and the...
2 Reactions
0 Replies
192 Views
Kuna OFA ya watoto wa nguruwe aina ya LARGE WHITE chotara Umri : miezi mitatu Chanjo : zote zimepigwa Afya : ipo kama katika video Bei : 150k kila moja Location : mpunguzi, bahi dodoma...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Yaaani Unatoa 3M, Unaletewa 10k × 365 = 3,650,000 Faida kwa mwaka = 650,000 Faida kwa mwezi = 54,000. Faida kwa siku = 1,800, 😂😂😂 Wagonjwa wa akili ni wengi.. Issue sio aina ya biashara tuu, japo...
11 Reactions
52 Replies
4K Views
Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000 Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja) Hesabu ya siku – elf 10 Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000 Faida miezi 13 =...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Waungwana naomba munisaidie mwenzenu nimejichanga na kupata TZS 40,000,000/ ila kwa kweli nimeshidwa kuona ni Biashara gani ya kufanya Naomba msaada kwenye tuta wasichana wasije kuchungulia...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Maneno haya yaliandikwa kabla ya uhuru, 1953 BIASHARA NA WAHINDI Haiwezekani kufikiria biashara ya nchi ya Kilimajaro bila kuwakumbuka Wahindi. Wahindi wamejiingiza katika biashara ya...
6 Reactions
29 Replies
898 Views
In a business world where change is a constant, for a company to remain sustainably competitive, its managers need to ask themselves the following questions; what our customers want? How well do...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Habari wadau. Natumaini wote wazima. Twende kwenye mada moja kwa moja, Natafuta mtu au kampuni iliyo sajiliwa Tanzania kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara katika kuingiza na kusambaza bidhaa za...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
Wakuu, heri ya xmass na mwaka mpya? Natumaini mnaendelea vizuri! Naomba kwa anayeweza kufahamu namna ninaweza kuanzisha ofisi ya betting, kama wakala au inakuaje. Sina ufahamu kuhusu hii. Nipitie...
2 Reactions
7 Replies
365 Views
Serikali ya china itakua inaendesha mambo mengi sana Africa miaka ijayo. Kuanzia miundombinu, biashara hadi sera. Hadi sasa wao ndio wanaendesha biashara karibu zote k.koo kupitia viwanda vyao...
2 Reactions
0 Replies
99 Views
Back
Top Bottom