Wazee mambo vip?
Leo naomba kuuliza kwamba hivi kuna wafanyabiashara kariakoo wanao nunua bidhaa kama vile simu na Tv (electronics ) kwa bei ya jumla zanzibar ?
❌ Tatizo la Watu Wengi:
Watu wengi wanataka kutengeneza pesa mtandaoni lakini wanaamini bila mtaji haiwezekani.
Ukweli ni kwamba… mtaji mkubwa si pesa, ni maarifa + muda +uvumilivu .
Njia 3 za...
Kuanzia Desemba 2025, Zimbabwe inatekeleza sheria mpya kali ambazo zinalenga kutoa umiliki wa biashara kwa wananchi wake. Sheria hizi zinasema wazi kwamba biashara zinazomilikiwa na wageni katika...
Habari za jioni, natumaini mko salama.
Kama kichwa kinavyojieleza. Ninataka kuanza kazi kama consultant wa miradi na tafiti (ni professional yangu), kwa muda sasa nimekua napata wateja wengi na...
Many charities look for ways to fund their projects and keep their programs running. From small community groups to large international charities, the need for funds is constant and critical...
Salute Bosses!!
Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wote waliobahatika kusoma uzi wangu niliouweka hapa miezi kadhaa iliyopita na tukaShare ideas mbali mbali za kibiashara. Lkn zaidi...
Biashara ya vifaa vya ujenzi Tanzania ni fursa kubwa yenye faida endapo utaingia ukiwa na mikakati.
Soko la ujenzi linaendelea kukua kila siku kutokana na mahitaji makubwa ya nyumba, majengo ya...
Habari zenu. Ni muda mrefu nimekuwa nikikusanya GVC coins kupitia referral na rewards mbali mbali. Lengo langu lilikuwa kufikisha coins 1100+ ili kuuza kwa GalaxyMarket kama wanavyoonekana hapo...
Mimi ni mwanafunzi wa UDSM ninasoma Computer Engineering.
Kwa muda nimekuwa nikiona jinsi teknolojia inavyobadilika kwa kasi, lakini biashara nyingi ndogo hasa za mavazi bado zinapata shida...
Habari wana jamii
Ninashiriki nanyi handmade home decorations ninazotengeneza mwenyewe, kazi zinazochanganya art, light na modern interior design.
Kila piece ni unique, imetengenezwa kwa umakini...
JULIANA SHONZA NA JITIHADA ZA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA SONGWE
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ametembelea vikundi vya ujasiriamali vya Wanawake...
habari zenu jamii forums
ningependa kujua faida ya kujua katoni za maji makubwa ya lita 1 na nusu
Wanaouza wanaweza kuyaleta kwa gari zao, hakuna gharama za usafiri
Habari wakuu,
Samahani, naomba kufahamishwa bei ya bodaboda mpya na used pamoja na ushauri wa aina ya bodaboda iliyo bora zaidi kibiashara kwa hapa Dar.
Pia, vitu vya kuzingatia kabla ya kununua...
Kwanza binaadamu kaanza tabia kuvuta tumbaku kabla ya yesu kuja,Tanzania watu wameanza kuvuta tumbaku zaidi ya miaka 200 iliyopita.
Tumbaku inapendwa na kuna watu tunaifurahia. Inakuaje nyie TCC...
Kwakuwa watanzania wengi wajasiriamali bado ni wageni wa masuala ya kifedha na mikopo, sio vibaya tukaelimishana kuhusu huchi kitu. Mazingira ya biashara Tanzania sote twayajua, unaweza lala una...
Nina mtaji wa laki 3 na nusu, wakati natafuta ajira nimeona nijiajiri niuze chips, vipi mtaji unatosha? Any idea ya how to make them in a way it suits me (kisomi)?
Ushauri wenu unahitajika...
HABARI WANA JF.
Watu wengi wameulizia kuhusu huduma zetu za consultation kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji.
Huduma hii inalipiwa, ukitaka kuwasiliana namimi kwaajili ya kukupa elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.