Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwa mwenye uhitaji anipigie 0684101707, nimeweka picha hapo haijakamilika sina picha nyingi maana nilikifungua pindi tu nimejifungua, kitanda kina hali nzuri,
5 Reactions
21 Replies
638 Views
🔥🔥OFFER OFFER OFFER OFFER🔥🔥 ‎Nokia 106 New ‎ Bei za jumla ‎Tsh17,500/=kuanzia pc5 ‎Tsh17,000/=kuanzia pc10 ‎Tsh16,500/=Kuanzia pc20 ‎ ‎Rejareja:22,000/= ‎Brand: new ‎Batter: 1000mAh...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
‎Nokia 106 New ‎ Bei za jumla ‎Tsh17,500/=kuanzia pc5 ‎Tsh17,000/=kuanzia pc10 ‎Tsh16,500/=Kuanzia pc20 ‎ ‎Rejareja:22,000/= ‎Brand: new ‎Batter: 1000mAh ‎Cont:+255682697124Call/whatsapp...
1 Reactions
0 Replies
187 Views
Wadau wa madini kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?
4 Reactions
4 Replies
650 Views
Seeking Investment for High-Impact Holding Company – A Long-Term Opportunity to Build a Multibillion-Dollar Business We are founders of a private holding company in its early stages. We are...
3 Reactions
7 Replies
502 Views
Wana JF uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
5 Reactions
285 Replies
61K Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Habari zenu waungwana, nawasilisha wazo langu la kibiashara ili nipate mawazo Kwa wazoefu na hata wasio wazoefu wa biashara hizo, lengo ni kujifunza na kupata mawazo ya wengine. Nina wazo la...
5 Reactions
29 Replies
663 Views
Habari ndugu zangu, Naomba ushauri juu ya jinsi ya kununua viatu vya wanawake vyenye ubora kutoka China kuja Tanzania kwa bei nzuri. Je, kuna mtu yeyote mwenye mawasiliano ya wauzaji wa...
3 Reactions
3 Replies
339 Views
Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Tumenunua Bajaji 5 mwaka 2021. Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji...
6 Reactions
111 Replies
28K Views
Tupeni ushauri wa mishe zinazoweza kumtoa mtu angalau faida milion 3 kwa mwezi tujifunze sisi tuliokomea huku chini🤣 mimi huwa naheshimh sana mtu anayeweza kutafuta pesa mwenyewe , mtu mwenye...
21 Reactions
164 Replies
7K Views
Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi. Nina miezi mitatu sasa natrade...
2 Reactions
68 Replies
13K Views
Habari za muda wadau, Nimekuwa interested na umiliki wa play station kwa Matumizi binafsi ya PS4. Kwa sasa ila nina Mawazo ya kuja kufungua biashara ya kuchezesha games kwa japo badae hasa baada...
3 Reactions
13 Replies
6K Views
Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara. Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo...
10 Reactions
66 Replies
17K Views
🌀 Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza — kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako...
5 Reactions
10 Replies
6K Views
Salamu Wakuu Leo Napenda Kuwashirikisha Katika Mchanganuo Huu Wa Biashara Ya SALOON Hasa Ya Kiume. Biashara ya SALOON Ya Kiume ni Wazo Zuri. Hapa chini Nimekuandalia Mchanganuo Wa Biashara Hii...
7 Reactions
17 Replies
15K Views
Kwa wauza vifaa vya furniture km Plywood 18mm... Mikono inch 6 ya makabati.... Mikono inch 8 ya kabati.... Bawaba za kichina.... Loki za kabat... Gundi bollbond... Disk ya mbao inch 7 Diski ya...
1 Reactions
0 Replies
113 Views
Greetings wakubwa na wadogo, na kheri ya mwaka mpya. Habarini wanajamii. Nimekuja hapa na utafiti wangu mdogo kuhusiana na kuanzisha small workshop yenye mashine hizi mbili ( Lathe Machine na...
2 Reactions
10 Replies
433 Views
japo hakuna kiwango cha wazi cha kuanisha tajiri lakini kuanzia kiwango hiki Kwa Tanzania, watu wengi hutumia vipimo hivi kumhesabu mtu kama tajiri 👇 1. Kulingana na Kwa gharama za maisha za...
15 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu wapambanaji, Naomba kujuzwa bidhaa ambazo inaweza toa faida ghafi ya laki moja au zaidi kwa pc na huku mimi nikiinunua pamoja na usafirishaji niwe nimetumia laki moja au pungufu ya...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom