Ndugu zetu walio serikalini, jifunzeni kutoka kwa 'rafiki' zenu wachina. Kutoka kwa Howard Yu LinkedIn
Two months ago, China opened a bridge so high you could stack two Eiffel Towers beneath it...
Habari mjasiriamali, najua pengine hujawahi kusikia kuhusu beneficial ownership.
Kwa kifupi Beneficial Ownership ni taarifa za umiliki wa Kampuni ambazo zinaonesha nani haswa ni mnufaika Kampuni...
Wafanyabiashara katika soko la Kilombero Arusha.
Arusha. Wakati Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikiweka msingi wa uhuru wa kusafirisha bidhaa na huduma kati ya...
NAOMBA USOME KWA UMAKINI KABISA
Kwanza kabisa Hakuna pesa inayo patikana kiurahisi ,ukiona matangazo kwenye mitandao ya kijamii kama Fb , twitter, instagram wanatangaza kuhusu matumizi ya SMART...
Kutunza taarifa za biashara ni eneo la muhimu kwa kila mfanyabiashara. Hii husaidia kujua mali ilyotoka, iliyoingia, mali zilizopo, madeni, mauzo na faida au hasara iliyopatikana.
Wengine...
Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga Kariakoo, sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya.
Wiki ijayo naingia Dar kutoka Singida na ni mara yangu ya kwanza kufika...
Kusajili kampuni ni hatua kubwa na ya maana kwa kila mfanyabiashara anayetaka kufanya kazi kwa uhalali na kuaminiwa na wateja, wawekezaji, na taasisi za kifedha. Kupitia Victoria Agency, unaweza...
Wakuu nataka kukunua kati ya bajaj au gari ndogo mfano Vitz/IST or the like ili nimweke dereva apige biashara ya Uber au Bolt.
BAJAJ
Kwa upande wa Bajaj ikiwa mpya bei ni 7.35M na kwa sasa walio...
Wiki iliyopita nilitoka Moshi nikaenda kumtembelea classmate wangu pale Arusha. Jamaa ni engineer wa computer. Jumapili baada ya kula Ibada Safi na kwaya kali pale St. Theresa tuli-mount XR 250 na...
Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki...
Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa.
hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
Habari wanajamii,
Naomba msaada wa ushauri na uzoefu wenu. Niko kwenye hatua za awali za kupanga kufungua mini supermarket/mart ndani ya mji, lakini kabla sijaanza rasmi ningependa kupata taarifa...
Wafanya biashara wengi hupigwa fines wasizozitegemea na wanajikuta na mrundikano wa madeni makubwa yanayo waelemea kila uchwao.
SAbabu kuu zinazofanya wafanya biashara wanapigwa fines ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.