Tanzania inazalisha maelfu ya wahitimu wenye vipaji katika fani za uhandisi, ujenzi, na usanifu majenzi kila mwaka. Hata hivyo, kuna changamoto mbili kubwa: uhaba wa ajira kwa vijana hawa na...
Habari Jamii Forums
PART 1
Ninataarifa A to Z kuhusu biashara ya kuimport Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (UONO) Tanzania lakini ninamtaji mdogo sana nahitaji Mtu wa kushirikiana nae...
Hello bosses,
Nipo Mkoa wa Tabora, natamani kufanya biashara ya Spare za pikipiki na nimefanya research ya pikipiki gani zinapatikana kwa wingi ni hizi pikipiki za kichina kama sanlg, fekon...
Natokea Arusha,Kahawa ni zao kubwa la biashara. Sababu nimekulia Dar,mwaka juzi kwa kuchoshwa na kunywa kahawa mbovu na chini ya kiwango nikaamua niwe naagiza green beans kutoka Arusha,nakaanga...
Tanzania: Rasilimali, Ukomeshaji, na Gharama ya Mfumo wa Uchimbaji
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi: nikeli, cobalto, grafiti, madini adimu, na dhahabu. Kwa mwonekano wa kwanza...
OFA YA KITABU CHA KIINGEREZA
Mimi kama mwalimu wa kingereza imenibidi nikupe ofa ya kitabu (soft handbook)
DOWNLOAD hapo👇
in case utaitaji msaada wa vitabu vingine au namuna ya kukitumia hicho...
Habari zenu wapendwa, tukiwa msimu wa joto naomba kuwakaribisha wote wenye uhitaji wa AC kutoka Baridi Baridi ili kupambana na joto nyumbani, ofisini, hotelini, supermarkets n.k
AC zetu unaweza...
Habari za wakati huu? Kama kichwa kinachojieleza. Nimekuja na swali ambalo nahitaji usaidizi kwa wale wazoefu.
Inawezekana kuwa na TIN namba hata kama sina biashara kwa sasa? Na utaratibu pamoja...
Habari wakuu.
Moja Kwa moja kwenye Mada.
Mtaji wa milion ngapi unaweza kuanzia kuchukuwa China kwa biashara ya vipuri Vya pikipiki alafu uje uuzwe hapa Nyumbani Kwa mikoani Tu sio jijini...
Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imefanya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa kwa nafasi za juu, ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi kilichomalizika, Bw. Hamisi Abdallah...
Wakuu kwenye divorce kama ulikua na treasury bond je inahesabiwa kwenye mgawanyo wa Mali? Kama iko kwenye jina la mume na wametengana na imenunuliwa baada ya kutengana ila divorce bado?
Naombeni...
Wazee poleni wote kwa kuto kuipata huduma ya jamii forums kwa muda wa miezi mitatu:
Maada yangu ni kwamba nasikia ukinunua mzigo zanzibar ukitaka kuuvusha ufike tanzania bara unalipa kodi kubwa...
Naleta kwenu lalamiko langu kama ifuatavyo:
Mnamo tarehe 4. 12. 2025 majira ya saa 1:40 usiku nilifika kituo cha mabus Mbezi Magufuri terminal kutuma bahasha kwenda ofisi ya Tanesco Dodoma...
Habari wakuu,
Ningependa kufahamu TARATIBU muhimu na MAHITAJI (requirements) za KUSAJIRI KAMPUNI ya USAFIRISHAJI MAGARI kwenda nchi jirani, kutokea bandarini.
Nina kampuni yangu Ina deal na...
Hello wakuu,
Naomba kwa aliyehudhuria mkutano wa wawekezaji UTT aniambie faida za mifuko mwaka Huu ilikua asilimia ngapi Kwa:
Liquid fund
Bond fund
Wekeza Maisha
Jikimu Na
Watoto fund
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.