Silivian Member Joined Nov 13, 2022 Posts 90 Reaction score 218 Dec 29, 2025 #1 Serikali ya china itakua inaendesha mambo mengi sana Africa miaka ijayo. Kuanzia miundombinu, biashara hadi sera. Hadi sasa wao ndio wanaendesha biashara karibu zote k.koo kupitia viwanda vyao. Wakizima viwanda tumepoteana. Wanaamua tuvae nini tuuze nini.
Serikali ya china itakua inaendesha mambo mengi sana Africa miaka ijayo. Kuanzia miundombinu, biashara hadi sera. Hadi sasa wao ndio wanaendesha biashara karibu zote k.koo kupitia viwanda vyao. Wakizima viwanda tumepoteana. Wanaamua tuvae nini tuuze nini.