Amani iwe kwenu,
Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo nimevuna takribani gunia kama 20 ivi.
Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.
Ninacholipendea hili jukwaa watu wako serious, hakuna mizaha mingi, lakini pia tunapata mawazo mapya kila siku humu.
Leo naomba tupeane michongo ya biashara zenye faida ya shilingi kwa shilingi...
Mimi ni mdau katika sekta ya usafirishaji mizigo. Inapotokea unasafirisha baadhi ya mizigo kama Abnormal loads, Hazardous loads, unstable loads na Super loads ni lazima uwe na vibali maalumu...
Kwenye biashara kuna mambo mengi sana ambayo kabla hujafikiria kuanzisha biashara unatakiwa kuyafikiria ili isije tokea sababu yyte (ya kibinadamu) ikakuangusha chini ukafunga biashara yako.
Watu...
Wasalaam Wakuu
Kama kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mjasiriamali natamani kuwekeza kwenye mradi wa kupasua mawe na kutoa derivatives i.e. kokoto, chipping na mchanga ulio katika powder /...
Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka...
Nilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara...
Habari ndugu zangu.
Niliagiza simu kupitia AliExpress mwezi wa 12 mwaka jana.
Mzigo unaonekana umefika Tanzania tangu tarehe 2 Januari 2026. Tracking number inaonyesha “customs clearance...
Huu uzi ni matokeo ya utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 15,nilifatilia matukio mengi ya watu wanaodai kutajirika kwa nguvu za ngiza,nilisoma vitabu vingi,niliongea na ma guru wengi na mwisho...
Ndugu watanzania, nimewaza, hapa natamani TUPATIKANE WATU arobaini tuunganishe mitaji ya Mil 5 ili kuitimiza Mil 200 then tuwekeze kupitia Vodacom M-wekeza, huku tukitarajia kupata faida ya zaidi...
Ni kuhusu VAT upande wa Exportation.
Scenario Iko hvi, Kuna kampuni tatu (KED, XYZ & ABC)
1. KEDA ni non-resident company ipo Uganda na inaexport coal from Tanzania .
2. XYZ ni resident company...
Hizi sarafu zilivyopotea mitaani serikali ina lengo gani?
Kwamba ndio tuanze kutumia mia tano kama sarafu ndogo kuliko?
Na kama ikiwa hivyo vipi kuhusu pesa yetu inapoelekea?
Wataalam...
Habari wana Ndugu. Kama wewe ni mzazi au kijana kama mimi na unataka ukasome Veta, fani ya uchongaji wa vipuli vya magari au mashine. Futa kabisa ilo wazo maana ni kujiingiza kwenye umasikini, Hii...
Nimetoka kuona taarifa ya wafanyabiashara wa maduka ya Arusha wakitishia mgomo kama machinga hawataondolewa, nayajua maumivu yao kwasababu niliwahi kuyapitia ila kwa mkoa tofauti.
Machinga huwa...
Sina uzoefu sana na forex lakini naomba niulize wataalamu wa Jf
Kama Kwasasa nikiwa na USD 1 naweza nunua 1,065,000.00 IRR.
Hivyo nikiwa na laki moja tu ya kitanzania hio ni sawa na kama 50M ya...
Habari,
Tunazo 22 Inch LED Ring Light Full Set Zenye Tripod Stand, Remote, Charger na Phone Holder Tatu kwa TSH 70,000
✅Zina Mwanga mkali na soft light 💡 inayohifadhi macho!
– zinafaa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.