Nawanyooshea kidole Mkurugenzi wa Halmashauri na Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera kwa kuwaonea Wananchi wa Kata ya Bugandika hasa...
Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera.
Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa...
Siri kubwa ya kutotolesha mayai kwa mafanikio siyo tu kuwa na incubator – ni kuhakikisha joto (temperature) na unyevu (humidity) viko kwenye viwango sahihi na vimebalance muda wote.
Wakuu habari...
Kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025, iGrowth Fund umeonekana kuwa miongoni mwa mifuko iliyofanya vizuri zaidi sokoni.
Ukuaji wa Thamani ya Kipande (NAV)
✓ Tarehe ya kuanzishwa: 03 Desemba...
Tayari nimeweka nia ya kutojihusisha na mikopo ya aina yoyote ile mwaka 2026. Iwe benki, viccoba au wowote ule nitakaa nao mbali. Yaani nimejiahidi kama nilivyojiahidi kutofanya mapenzi hadi...
London, Uingereza — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb.), amewahakikishia wawekezaji wa Uingereza kuwa Tanzania ni nchi salama, yenye uthabiti wa kisiasa...
Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni binti miaka 25 muhitimu wa chuo ngazi ya diploma ila sijaajiriwa na nimemaliza chuo tokea mwaka juzi.
Nakuja mbele zenu nikiomba ushauri juu ya wazo la...
Habari mjasiriamali,
Nimepata casesara 3 watu wanalipia applications zao Brela halafu wakirudi kwenye system inaonekana application haijalipiwa.
Leo nimekuandalia njia nne za kufanya malipo...
Je ungependa kupandisha mauzo ya Biashara Yako Mara 10 Zaidi Ndani Ya Siku 30
Kama jibu lako Ni Ndio Basi Naomba Uniazime Dakika zako Tano Tu
Niweze Kukuonesha jinsi Ya Kufanya Hivyo
Twende...
Nahitaji hii mashine kwa ajili ya kukuna maganda ya nje ya nazi ili nipate nyuzinyuzi kama ilivyo kwenye picha. Ukitaka full video ipo na inavyofanya kazi.
Nahitaji mtu anayeweza kuiunda na...
Ndugu zangu heri ya mwaka,
Leo nina ombi moja, maana najua humu kuna watu wanajua mambo mengi na wana exposure kubwa za kimataifa.
Naomba kwa mwenye idea anisaidie, je ni online platform gani...
Je Ungependa kupandisha mauzo
Ya Biashara Yako Ndani Ya Siku 30
Kama jibu lako Ni Ndio Naomba Uniazime Dakika zako Tano Nikuoneshe
Jinsi Ya Kufanya Hivyo
Twende pamoja
Kwenye Ulimwengu Wa Mauzo...
Jambo Jambo?
Naomba kujua haya ya kununua bonds,hisa kwenye stock exchange na mambo ya UTT-AMIS
kiufupi napenda kuwekeza hela kwenye mambo kama hayo, ambayo kwa shughuli zangu za utafutaji...
Mwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni.
Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali...
Habarini za muda wakuu. mimi ni mfanyabiasha wa mbuzi na ng'ombe kwa mwenye mmiliki wa bar,hotel na bucha.
Kwa anayehitaji niwe namletea kwa ODA. naomba ushirikiano wenu.
kwa masiliano zaidi...
Rafki
Kwa Wewe Ambaye unataka Kuanzisha Biashara Yako Ndani ya Mwaka 2026 ili Uanze Kutengeneza Pesa ya Uwakika Kuna Kitu Cha Msingi sana ambacho Unatakiwa Kukifahamu
Na, Kitu Hicho Ni Soko La...
Watu wengi hudhani Dollar ndio safaru yenye thamani zaidi duniani ila ukweli ni kwamba Dollar ipo nafasi ya kumi kwenye sarafu zenye thamani zaidi duniani huku nafasi za mwanzo zikishikwa na...
Habari wanajJF, hivi bajaji ya mkononi ukampa mtu mkataba labda unaweza ukafanikiwa.
Walioanza kufanya biashara hiyo anipe ujuzi bajaji kama ya milioni 5 hivi
Ushauri wenu wanaJF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.