Ufahamu wa tofauti wa aina za play station

Jul 25, 2013
7
21
Habari za muda wadau,

Nimekuwa interested na umiliki wa play station kwa Matumizi binafsi ya PS4. Kwa sasa ila nina Mawazo ya kuja kufungua biashara ya kuchezesha games kwa japo badae hasa baada ya kuona kukosekana kwa PS4 Kwa sehemu nyingi wanazochezesha playstation kwa mitaa nliyopo.

Kwa sasa ningeomba kufahamu tofauti ya brand za play station kama vile SLIM, PRO na zingine kama zipo na je ipi ni nzuri Kwa biashara hii?

Pia Nina mawazo ya kuwa na playstion zingine kama PS3, PS2..Ila Kwa sasa nlikuwa nahitaji ufahamu wa hizi aina ya PS4 nzuri ipi kwa biashara Kwa wenye ufahamu nazo zaidi

Nitangulize shukrani .
 
PlayStation Slim ni ndogo na kuna Kubwa kazi ni ileile kama iPhone kuna iPhone na iPhone pro max..Ps2 ps3 matoleo ya zamani hayo chukar ps4 ukiitaji Niambie nakutumia kutoka Uingereza na Mzigo wa PS4 natuma next month inshallah
 
How Much Boss??
 
How Much Boss??

Nitakufanyia 600,000 kwa pro used from Uk plus 1 controller and 2 games
IMG_0054.jpg
 
Playstation 4 zipo aina tatu Fat,Slim na Pro,

PS4 FAT-Ina ngazi tatu na katikati inamstari hii inauzwa 500k> inaoverheat sana kama unacheza kwa kukamia masaa24 haifai kwa biashara ya PS maana itawahi kukuzengua mbeleni,

PS4 slim-inangazi mbili tu ipo ya 500gb na 1TB bei ni 600k> hii ni nzuri hata kuanzia/kuitumia kwenye biashara ya Game maana haioverheat pia na ata kighetogheto inapendeza ukiiacha,

PS4 pro-ina ngazi tatu lakin haina mstari,inasupport 4k resolution,ina storage kubwa 1TB hii bei 800k>,

NB:Hzo bei ni used zenye condition nzuri utaweza pata maduka kama Games Store TZ wapo makumbusho,Games Point Mliman City wacheck Insta utawapata.
 
Umemuelezea vizuri sana but kwa wenzetu Huku slim inabei kuliko pro but pia integemea storage.
 
Playstation 4 zipo aina tatu Fat,Slim na Pro,

PS4 FAT-Ina ngazi tatu na katikati inamstari hii inauzwa 500k> inaoverheat sana kama unacheza kwa kukamia masaa24 haifai kwa biashara ya PS maana itawahi kukuzengua mbeleni,

PS4 slim-inangazi mbili tu ipo ya 500gb na 1TB bei ni 600k> hii ni nzuri hata kuanzia/kuitumia kwenye biashara ya Game maana haioverheat pia na ata kighetogheto inapendeza ukiiacha,

PS4 pro-ina ngazi tatu lakin haina mstari,inasupport 4k resolution,ina storage kubwa 1TB hii bei 800k>,

NB:Hzo bei ni used zenye condition nzuri utaweza pata maduka kama Games Store TZ wapo makumbusho,Games Point Mliman City wacheck Insta utawapata.
Naomba kujua kuhusu hili ya PlaySation ya Game Stick, ina utofauti gani na huo ya PS 3, nataka mnunulia kijana wangu awe ana tumia nyumbani
 
Attachments

  • IMG-20231129-WA0030.jpg
    IMG-20231129-WA0030.jpg
    79.4 KB · Views: 13
  • downloadfile(52).jpg
    downloadfile(52).jpg
    369.7 KB · Views: 16
Back
Top Bottom