Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naangalia option kujaribu kujenga kighorofa kimoja japo nilale juu, fundi ameniambia nichague kati ya option mbili kulaza matofali kutumia nguzo Namaanisha kama nikilaza matofali floor slab ya...
0 Reactions
82 Replies
44K Views
Wanajf, naomba ushauri, nahitaji Mkopo wa faster. je hao bank of Africa wako vipi? Wanatoa mikopo kwa heshima au ni riba za kuviziana? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MEAL is an acronym of Monitoring,Evaluation,Analysis and Learning which is a practice of project/program/business management that emphasizes the need to collect relevant business data both...
1 Reactions
2 Replies
809 Views
Habari wadau? Naomba kupata ushauri na uzoefu kutoka kwenu. Ningependa kujua jinsi ya kuanzisha BIASHARA ya viatu vya mtumba (vya kike na vya kiume), mahala napoweza kupata viatu hivyo (kwa bei...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Leo asubuhi sana kuna jamaa nilienda mpelekea bidhaa maeneo ya Posta nikamkuta ana ndinga kali anaoshewa na jamaa ni wale ambao wanaoshaosha magari town, nilivyopewa changu nikaona nimuulizie...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwenye mazuri tupongeze, mabaya tukosoe na panapostahili ushauri au angalizo tutoe. Hatua ya rais Magufuli kuzuia kusafirishwa kwa kinachoitwa mchanga wa dhahabu kupelekwa nje ya nchi...
12 Reactions
100 Replies
13K Views
Niko mbioni kuachana na mambo ya kuajiriwa, sasa naitaji kumiliki biashara zangu lakini cha kwanza naitaji kununua bajaji kwa mtu ili niendeshe mwenyewe kusafirisha abiria. Nini changamoto na...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wadau, wataalamu wa mapaa tunaomba ufafanuzi na faida ya hiden roof na hasara zake kitaalamu zaidi. Na mfumo upi katika hiyo miwili ni mzuri na wenye tija kwa jengo.
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Salaam waungwana, ndugu zangu nina wazo la kutaka kufungua biashara ya kuuza mabegi aina zote yaani mabegi makubwa ya nguo, saizi ya kati, ya mgongoni na hand bags za wadada. naomba mnisaidie...
1 Reactions
13 Replies
9K Views
Naomba msaada kwa wachumi na Wajasiriamali mliopo humu ndani. Ninapanga kuwa naweka akiba kidogo kidogo benki kutokana na kipato kidogo nachokipata kwenye biashara yangu ndogo. Plan yangu ni...
2 Reactions
6 Replies
46K Views
Habari zenu wadau. Kwa wale wazoefu wa online payment naombeni msaada bank gani ni nzuri kufungua Visa card ili kufanya malipo online?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wapendwa, poleni na majukumu. Kuna jambo naomba mnisaidie kuhusu biashara ya viatu vya mtumba, hususani akina mama. Kuanzisha hiyo biashara ni vitu gani muhimu napaswa kuwa navyo? Na je, kati...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
As many of you know, Tanzania isn't well set up to allow the flexibility of online businesses. I just wanted to know, is there anyway I can receive money online into my bank account from foreign...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi habari za usiku. Natumai mnaendelea vizuri katika ujenzi wa taifa letu. Naomba kuuliza pia tujadili, kipi ni bora (kuzingatia uimara, gharama za ujenzi) kujenga nyumba flat roof au hizi...
0 Reactions
29 Replies
11K Views
Kunauwezekano wa kufanya MALIPO kwa KUPITIA digtal wallets mfano PayPal au skrill bila kuwa na bank account? Na kama uwezekano upo ni njia gani unaweza tumia?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wa JF, bila shaka mu buheri wa afya natafuta "Business Partner" ili tufungue kiwanda kidogo cha Waste Recycling (Kuchakata taka) na kuzalisha bidhaa mbalimbali zitokanazo na taka...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Programmer wa Vodacom upande wa m pesa mnaonaje mkatuletea menu ya kuweka pesa iwe Kama kibubu. Yani muweke mfumo mteja awe na uwezo wa kutengeneza account ya muda fulani Kama ilivyo "m-pesa...
1 Reactions
1 Replies
803 Views
Kuendelea kukua kwa teknolojia kumeleta chachu na kupunguza baadhi za adha tulizokuwa tunazipata enzi hizo ilikuwa ikifika mwisho wa mwezi kwenye ATM mashine unakuta kumefurika watu balaa. Kwa...
0 Reactions
21 Replies
20K Views
habari wana jamii.... Msaada kwa wenye uelewa na hili. Ktika pitapita zangu mtandaoni na kwenye magazeti nikiangalia exchange rate za kila siku kwa kila nchi naona thamani ya fedha yetu ipo...
1 Reactions
1 Replies
848 Views
Back
Top Bottom