Kikuuu wababaishaji

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,663
13,488
Hawa jamaa ni wababaishaji...mzigo unazaidi ya siku ishirini hapa Dar lkn kwangu hauletwi...au ndo wamenipiga?!sitashauri mtu kwa style hii
Screenshot_2019-10-13-06-33-09.jpeg
 
Riders wao ndio wahuni. Niliwahi oata shida kama hiyo, nikaenda ofisini kwao rider kupigiwa simu akadai eti amekua akinipigia sipatikani

Kama upo dar wapigie au nenda shoperz plaza ofisini kwao, waambie tu waulete hapo ofisini

+255 677 051 601 -kikuu customer care
 
Asante kwa namba nitawatafuta
 
Riders wao ni majanga hujapata sikia,mimi niliagiza mzigo,nika track mzigo ukaonekana kuwa umefika baada ya mwezi kupita,yule rider bahati nzuri nilikuwa na namba yake,kila nikipiga ikawa haipokelewi,ikafika mahali akaniblock hapo ni wiki 2 zimepita,wiki ya 3 ananipigia simu kuwa mzigo wangu umefika,nilipokutana naye anasema hakuwepo alikuwa shamba,hapo ndio nikajua kuwa hawa jamaa hawako serious kabisa...
 
Riders wao ndio wahuni. Niliwahi oata shida kama hiyo, nikaenda ofisini kwao rider kupigiwa simu akadai eti amekua akinipigia sipatikani

Kama upo dar wapigie au nenda shoperz plaza ofisini kwao, waambie tu waulete hapo ofisini

+255 677 051 601 -kikuu customer care

Safi sana... natumae mleta mada utakua umepata muongozo...

Cc: mahondaw
 
Riders wao ndio wahuni. Niliwahi oata shida kama hiyo, nikaenda ofisini kwao rider kupigiwa simu akadai eti amekua akinipigia sipatikani

Kama upo dar wapigie au nenda shoperz plaza ofisini kwao, waambie tu waulete hapo ofisini

+255 677 051 601 -kikuu customer care
Hii namba kila nikipiga haipatikani
 
Ubabaishaji badow unaendelea...jamaa hawataki kuniletea mzigo wangu...nilipewa namba na mdau hapo juu lkn kila nikipiga haipatikani
Screenshot_2019-10-23-15-19-00.jpeg
 
Hayo ndio maudhi ya KIKUU,mzigo ukishafika wanaanza michezo yao,na hata siku wakikuletea huo mzigo wanakuwa hawana majibu ya maana...
Sitarecommend kwa mtu yeyote kutumia huu upuuzi
 
Dawa ni kuacha kuwatumia hawa wapuuzi
Nenda ofisini kwao pale shoperz plaza utapata mzigo wako afu pia ni bora bora ukaandika self pick ukawa unaenda kuchukulia oficini kwao maanake wale ma rider ndo wamekuwa wasumbufu zaidi
 
Ipo sehemu gani nikitokea ubungo...sipafahamu nielekeze napanda daladala za wapi!?
 
Nenda ofisini kwao pale shoperz plaza utapata mzigo wako afu pia ni bora bora ukaandika self pick ukawa unaenda kuchukulia oficini kwao maanake wale ma rider ndo wamekuwa wasumbufu zaidi
Shoppers plaza ya wapi?mikocheni au masaki?
 
Back
Top Bottom