Msaada: Njia ipi ni rahisi na haraka kwa ajili ya kutuma pesa Malawi kwenda Tanzania?

Kama u ayemtumia hela ana kadi ya mpiga kura basi ni rahisi zaidi, anaenda kuzitolea crdb
 
Tumia swiftcode either ya nmb, crdb NBC na n.k piga huduma kwa wateja ya bank tajwa hapo juu watakupa maelekezo vizuri.
Au unaweza kutumia western union ni easy kidogo.
Au tumia local broker wapo kila nchi wanakutumia kwa tigo pesa /mpesa pia Hawa wanachokifanya sender ambaye yupo malawi anawapa Cash then wanawasiliana na agent wao Tanzania ambaye yeye atakumia kwa simu..
Ukishindwa kabisa kabisa basi tumia njia ya mababu zetu njia ya bus la falcao express pesa hije kwenye baasha 😀😊

Niete #Mr_Alternative
 
Back
Top Bottom