Wakuu salama,
Mimi si mtaalam sana ni maswala ya habari na vyombo vingi vya habari natambua ni huru inapokuja kwenye maswala ya nini kirushe au kiandike (kama tu hakivunji sheria) kipo huru ila...
Habari za mida hii! Naomba kufahamu jinsi ya kuendesha biashara maana nimefanya usajili wa biashara ya usafi, nahitaj kufahamu jinsi ya kujikuza na kukua kibiashara.
Sent using Jamii Forums...
Najua humu ni jukwaa kubwa la biashara ambapo kama wadau tunaweza kusaidiana ili kuweza kwenda mbele zaidi kimaendeleo.
Mimi mtaji wangu ni kama milioni moja eneo ni sehemu ya wachimbaji wadogo...
Habari wadau,
Hebu leo tuacheni vibiashara vidogo vidogo tuje kwenye makampuni, sasa tujadiliane katika kampuni ulizowahi kufanya nao kazi. Je, ni kampuni ipi unayoona na rahisi kuanzisha na...
Mimi ni mkazi wa Kigoma. Natamani sana kupata ushauri wa ki-biashara na uchumi katika eneo nilipo.
Wadau nisaidieni kama wapo maeneo ya Kigoma niwapateje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari JF,
Kuna watu hapa kijiweni wamenizunguka, mimi nilikuwa nawaambia kwamba uchumi wa Tanzania ni mkubwa kuliko wa Marekani wananibishia.
Ebu tuwekane sawa wale wabobezi wa maswala ya...
Wakuu, habari za mchana. Natumaini wazima.
Hivi vipi kuhusu hii Biashara ya mihogo kwa hapa Dar, nikichukua shamba maana naona wakina mama wanaipenda kununua kwa ajili ya kukaanga.
Naomba...
Habàri wakuu..
Nahitaji kufahamu je ni sahihi kununua laini za uwakala zilizosajiliwa na mtu mwingine usiemfahamu? Madhara yake ni yapi: Na je nikifanya hivyo naweza kujiingiza kwenye matatizo...
Wengi wetu tunaamini kabisa kwamba maisha ni malengo. Biashara pia ni malengo
Strategic Plan (Mpango Mkakati) unahusisha uaandaaji wa mipango/malengo unayotaka kufikia ndani ya kipindi fulani na...
Inafahamika wazi namna gani teknolojia imesaidia nchi nyingi kuendelea kiuchumi. Hii inadhihirika wazi pia kwa nchi za Afrika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matumizi ya simu za mkononi...
Hesima kwenu wakuu.
Baada ya mda kidongo ivi wa kuwa busy, busy leo ningepena tujadiliane kuhusu fursa za biashara zilizopo kwenye hii jumuiya yetu ya EAC.
Nitatoa muongo kidigo kuhusu nachokijua...
*FAIDA ZA KUWA NA HATI MILIKI YA KIWANJA AU NYUMBA*
*Hati miliki ni nini?*
-Ni document ya kisheria inayoonyesha mmiliki wa kipande cha ardhi. Ikionyesha ramani ya upimaji ya eneo husika, ukubwa...
Wadau salaam!
Nilikua naomba maoni, ushauri na mawazo kuhusu hii biashara ya laundry ( kufua nguo ). Nafikiria kufungua katika moja ya maeneo kama Sinza, Masaki, Mbezi beach, Kinondoni. Vipi...
NIMEITOA MAHALI,SIMJUI MWANDISHI
(imenigusa sana)
Nimekuwa nikipokea messages na calls kutoka kwa watu wengi mno wanaotaka kuanza biashara au waliokwishaanza biashara ila zimekwama. Utasikia...
Nina degree ajira ni tatizo ,capital ni tatizo,kuna kaz nataka nianze kufanya kusajili lain but naogopa kuwa katisha tamaa wadogo zangu ambao nilikuwa ni mfano kwao? nifanye nn wa ndugu
•Don't waste your time!
You need to understand that every day in your life ,in which you haven't
learned anything - is wasted day!
•Surround yourself with the people smarter than you!
This kind...
Samahani Wakuu naomba kufahamu ni Benki gani naweza kufungua akanti na nikapata kadi kwa maana ninapotaka kufungulia akaunti ni mkoa tofauti na ninapoishi nahofia kuiacha alafu baadaye...
Habarini ndugu natumaini mu wazima!
Lengo la kuomba ushauri kuhusu biashara hizi ni kwa vile sina uzoefu nazo lakini nimetokea kuvutiwa nazo kutokana na hesabu ambazo nimekuwa nikizipiga.
Napo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.