Na jaribu kuwaza kwa sauti

cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
4,669
5,034
Hivi ni kweli kabisa mtu anaweza kuwa na millioni 1 mpaka 5 halafu hana cha kufanya, wakati anazikusanya hata hana idea yoyote ya kufanya.

Nahisi utakuwa hauko serious, kweli najaribu kuwaza vijana wenzangu wapo wana ma idea kibao huko kichwani mwao wanasaka huku na huko ku implement kile walichonacho kichwani mwao kuwa katika reality lakini mambo yanaenda ndivyo sivyo kweli maisha yanatofautiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wapo sana.Mmoja wapo ni mm.Na trust me, dont judge us kuwa hatuko serious.Tupo serious sana tu na maisha lakin hii inatokana na sababu tofauti like tupo ambao tuna hustle kwenye field flan na baada ya kuona hupati kile unachokitaka unaamua kubadil upepo so katika mkakat wa kuja kivingine unakua unakusanya mtaji huku bado unawaza nini ukafanye.So unakua bado huna idea ila unaifikiria
 
Huo mtaji unaokusanya ni wa kiasi gan? Na kuhuttle kwenye field flani inamaana kuna biashara ulikuwa unaifanya then upepo umebadilika nadhan ndio ulikuwa unamaanisha ivo kwanini ubadili upepo yan biashara kuyumba kidogo unataka kubadili inamaana mpaka kufikia hapo hiyo biashara unaifanya bila passion ya ndani unatest test na kama ni hivyo uta tapatapa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mtaji unaokusanya ni wa kiasi gan?

Sent using Jamii Forums mobile app
It depends sasa..maana tuko watu wa level tofauti sana.Kuna mwingine hawaz biashara za 500k..mwingine mtaji wa 5m kwake anaona hawez fanya biashara ndogo k9iasi hicho na wakat kuna watu hata 100k kwke ni mtaji tosha kabisaa
 
Mkuu wapo sana.Mmoja wapo ni mm.Na trust me, dont judge us kuwa hatuko serious.Tupo serious sana tu na maisha lakin hii inatokana na sababu tofauti like tupo ambao tuna hustle kwenye field flan na baada ya kuona hupati kile unachokitaka unaamua kubadil upepo so katika mkakat wa kuja kivingine unakua unakusanya mtaji huku bado unawaza nini ukafanye.So unakua bado huna idea ila unaifikiria
Hata Mimi niliwah pewa hela lakin skuweza fanya lolote,ila kupitia kushndwa kuna ktu nmejfunza kama unajiona huwez biashara zingne kama hela n kubwa n bora kufungua duka la matumiz ya nyumban(sabuni,Michele,vocha nk)
 
Sema Sababu kubwa ni kukulia ushuani Sanaa
Akili inakua huipi kazi Sana
Kuna watu hawana kipaji cha biashara. Whether amekulia ushuani au uswazi. It's their nature yaan ndivyo walivyo.
Hawa huwezi kuwalaumu wala kusema ni wazembe
 
Back
Top Bottom