Ni kitu gani muhimu sana ili ufanikiwe kwenye wazo lako la biashara?

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
792
656
Ni kitu gani muhimu sana ili ufanikiwe kwenye wazo lako la biashara?

1. Capital
2. Strong Team
3. Idea
4. Businese Plan
5. Timing

Comment namba ya jibu ambayo unahisi ina umuhimu kwenye kufanikiwa kwenye wazo ya biashara(Project).

Toa na sababu ya namba uliyoichagua.
 
Business plan ndo chaguo sahihi, sababu business plan tayari imebeba idea na timing lakini pia ukiwa na business plan ukai-draft vizuri unaweza kufanya ushawishi wa kupatiwa mtaji kwenye vyombo vya fedha ama ndugu na jamaa, kama nimechapia mahala niwekwe sawa chap ili nijifunze zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sema mtu achague kwa mtiririko kipi kifuate baada ya kingine, kwasababu hapo vyote vinategemeana
 
Back
Top Bottom