Tofauti kati ya jina la biashara (business name) na kampuni(company)


M

Musaru

Member
Joined
Jul 5, 2015
Messages
16
Likes
1
Points
5
M

Musaru

Member
Joined Jul 5, 2015
16 1 5
habari wadau! kabla sijaingia kwenye biashara zilizorasimishwa,kuna mambo kadhaa nahitaji kuyafahamu. 1.je naweza kutumia jina la biashara la kawaida(,lisilokuwa kampuni) Ku import bidhaa kwa ajili ya biashara. asanteni naomba niishie hapo kwanza
 
M

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Messages
2,905
Likes
2,151
Points
280
M

MIGNON

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2009
2,905 2,151 280
habari wadau! kabla sijaingia kwenye biashara zilizorasimishwa,kuna mambo kadhaa nahitaji kuyafahamu. 1.je naweza kutumia jina la biashara la kawaida(,lisilokuwa kampuni) Ku import bidhaa kwa ajili ya biashara. asanteni naomba niishie hapo kwanza
Nilikuwa na nia ya kuanzisha thread kama hii.
Wataalamu naomba mje mtusaidie
 
Emma Mnyama

Emma Mnyama

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Messages
205
Likes
179
Points
60
Emma Mnyama

Emma Mnyama

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2017
205 179 60
Wataalamu mkuje huku
 
Money Stream

Money Stream

Member
Joined
Jan 21, 2018
Messages
9
Likes
6
Points
5
Money Stream

Money Stream

Member
Joined Jan 21, 2018
9 6 5
Jina la biashara la kawaida , lisilokuwa la kampuni. Nyoosha maelezo vema !

My suggestions:

Case study: Kampuni ya mawasiliano

MIC TANZANIA LIMITED VS TIGO

Huwezi kutumia neno tigo ku import mzigo bali MIC why? tigo is not an artificial person but MIC hivyo sio mlipa kodi but MIC ndiye.

tigo jina la ma promosheni tu sawa na red devils vs man utd
 
M

Muhagaze Leopold

New Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
3
Likes
0
Points
3
M

Muhagaze Leopold

New Member
Joined Jan 14, 2018
3 0 3
Jina la biashara kisheria halina hadhi ya kuwa entinty kamili wakati kampuni ni legal entity kisheria.
 
Malingumu

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
561
Likes
282
Points
80
Malingumu

Malingumu

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
561 282 80
Jina la biashara kisheria halina hadhi ya kuwa entinty kamili wakati kampuni ni legal entity kisheria.
Nami nina swali hapo, mfano nikaenda sajili jina la biashara BRELA, siyo kampuni, je mtu mwingine ambaye tuseme anataka kusajili kampuni ambaYo jina lake la kampuni ni sawa na la kwangu la biashara, je ataruhusiwa kusajili
 

Forum statistics

Threads 1,274,531
Members 490,721
Posts 30,515,493