dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,153
- 5,633
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika harakati za kuweza kujiweka kiuchmi na kuyasongesha maisha mbele, nimeona niwekeze tena kwenye kufungua mashine ya kukoboa na kusaga nafaka, sasa nimeona nilete huu mjadala humu manake kuna watalamu wa haya mambo, kama wapo wanaoweza kudadavua watusaidie, pengie hata wengine wapo wenye uhitaji wa hii biashara, garama zake zote mpaka inakamilika msaada.
Karibuni
By
Young
Dimaa.