Nataka nikope Bank. Biashara gani itaniwezesha kurudisha mkopo haraka?

October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,635
4,997
Habari

Nina kiwanja changu hapo pembeni ya jiji nataka nichukulie mkopo bank kihasi kama 2M.

Sasa nawaza biashara gani ambayo inaweza kuniletea pesa haraka ya kulipa deni kwa wakati mimi ninawazo la kufanya UWAKALA au CARWASH, ni biashara gani kati ya hizo mbili inaweza nifanya nikarudisha pesa kwa wakati bila tatizo, wenye uzoefu na hizi biashara mbili munipe ushauri.

Pia nimesikia Biashara ya pumba inalipa hii mwenye kujua anifahamishe uwenda nikaiangalia hii endapo itakuwa bora kuliko hizo mbili.

Munipe ushauri katika hizo biashara au kama huna uzoefu nazo, biashara yoyote ambayo unaona inaweza nifanya kurudisha mkopo fasta itakuwa vizuri.

NAWASILISHA

NB: Lengo ni itayonipa faida haraka note ingekuwa pesa Cash yangu ningeingia tu biashara yoyote kati ya hizo mbili, na Carwash mpaka sehemu ya kifungua nishaipanga, uwakala mpaka sehemu ya kufungua nishapanga POINT ipi inarudisha fasta pesa ya watu about bussines Scratch.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
October man,
Nenda kakope kama:

1. Una biashara ambayo tayari ina run na umeanza kuona dalili za biashara.

2. Una biashara inayo run na unataka ku expand.

Pia kwa uzoefu wangu kidogo, sizani kama benki wanatoa mkopo kwa wazo la biashara, benk wanatoa mkopo kwa physical business au biashara inayo run tayari tena lazima waji hakikishie kwamba biashara yako ina mauzo yanayoeleweka.!!
 
Back
Top Bottom