Biashara ya simu ya kulipia(Pay Phone)

My hair my crown

JF-Expert Member
Feb 5, 2016
800
2,126
.
 

Attachments

  • PhotoCollage_20200315_133342793.jpeg
    PhotoCollage_20200315_133342793.jpeg
    38.7 KB · Views: 5
  • PhotoCollage_20200315_133419171.jpeg
    PhotoCollage_20200315_133419171.jpeg
    68.3 KB · Views: 5
  • PhotoCollage_20200315_133454280.jpeg
    PhotoCollage_20200315_133454280.jpeg
    29 KB · Views: 5
Nmewaza apa je utazuiaje wez au mfano ananpigia flan wakutane afu anamteka? Apo vp

Sent using Jamii Forums mobile app
Wezi kivipi?,sio kwamba unampa mteja smartphone,,unakua na zile simu za mezani zinazotumia sim card,zinaizwa Kama laki nadhani,,so mteja anapiga simu Hapo Hapo,hawezi Ina Hilo lisimu.
Kuhusu mtu mhalifu kutumia kuita mtu amteke,huo Sasa Ni uzembe,unaitwa unakwenda bill tahadhari?
 
Uganda bado wanatumia hizo mambo mpk leo,bongo ma call box ya ttcl sijui yaliishia wapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom