Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu, Poleni na majukumu ya kila siku katika harakati za kutafuta mkate. Mimi ni mmoja kati ya wahanga wengi tuliohangaika kutafuta ajira kwa muda mrefu bila mafanikio. Baada ya kusota...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau wa JF habari za uzima, Mimi ni kijana wa miaka 20 mwanafunzi wa chuo mwaka wa Pili. Kuna some business ndogo ndogo nahitaji kuzifanya lakini naombeni mnishauri ni vigezo gani zaidi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wazee wa boma, Naombeni mnitoe tongotongo kuhusu hili. Nasikiaga watu wanasema kuwa Pesa za MasterCard hazina thamani na kwamba kama umefanya kazi online usikubali mtu akulipe kwa MasterCard...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sijajua architect wa hii interchange .. lakini designer ametisha.. alituliza sana kichwa kuja na hii solution kwa eneo dogo kama hili.
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Mtaji wangu ni kati ya 7.5M - 10M nimewekeza kwenye duka la chakula,sabuni spices nk... reja reja ILALA DAR, wakuu wataalamu wa TRA nawaomba munijuze hapa kiasi gani yafaa nilipe TRA kwa mwaka...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Credit card ni idea ilio anzishwa na watu ili kutatua changamoto za kusubilia hadi siku ya mshahara ndo watu wafanye shoping. Ukiangalia Tanzania malipo mengi ni mwisho wa mwezi na kweli ukifanya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu huu ni mwezi wa pili kwa wale wanaotumia broker wa templer forex hawawezi kudiposit pesa kwa njia ya M-Pesa Tanzania Inasemekana kuna mgogoro mkubwa wa kampuni ya M Pesa na BOT Tafadhali...
8 Reactions
51 Replies
13K Views
Awali ya yote Napenda Kushukuru na Kupongeza Jukwaa kwa Mawazo Elekezi. Naomba nielimishwe/nijulishwe juu ya Biashara ya Airtel money branch kwa ujumla, ( faida na changamoto zake kubwa, Uuzaji...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habar zenu Wakuu! Nina lengo la kuanzisha na seriouly kufanya biashara ya Maabara ya kupima vipimo vyote vya magonjwa ya binadamu katika moja ya mji wa hapa TZ. Ninacho omba kutoka kwa watalaam...
1 Reactions
24 Replies
22K Views
ndugu wana jf, nataka kuanzisha biashara ya kuuza gesi ya kupikia na accessory zake.,naomba msaada kuhusu procedure zinazotakiwa ili niweze kufanikisha ndoto yangu. pia mwenye idea na strategic...
0 Reactions
260 Replies
117K Views
Nawezaje mudu mahitaji yangu na kupata kipato kwa kutumia simu yangu ya mkononi
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wanajukwaa salaam! Nimechukua fursa hii kutumia jukwaa hili pendwa kutoa ya moyoni juu ya zoezi la upangishaji wa maeneo ya biashara kama ilivyotangazwa na tovuti ya tamisemi...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Chalii yangu sikia nikuchane.... We dogo nilisikia ulisema we ni mtu wa kutoka Musoma?? We ni mkurya, mjita? Achana na ukabila... Twende kwenye pointi... Boy unajua mimi ni katika wale vijana...
48 Reactions
201 Replies
33K Views
Wasalaam wapendwa Mimi ni kijana nina miaka 26, nafanya kazi ya kufagia kwenye hotel moja. Nimejichanga sasa nina milioni 3 lakini nikiangalia mbele sioni mwanga wa kazi hii. Naombeni ushauri...
9 Reactions
102 Replies
9K Views
Habari wazee, hivi juzi nilianza biashara ya forex kwa kuweka kiasi cha usd 100 kwenye account. na hii ni history tangu nilivyoanza kutrade hadi sasa, naombeni mnipe ushauri kama naweza kuendelea...
2 Reactions
59 Replies
8K Views
Habari wana JF, Mimi kuna ndugu yangu wa mkoani ameniomba nimnunulie bidhaa fulani huku Dar kwa kuwa huku inapatikana kwa bei rahisi kiasi 60,000. Sasa nilikuwa nahitaji mniambie ni bus gani...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari za mida hi, kama kichwa cha habari hapo juu. Mi ni mjasiria mali mdogo mdogo wa biashara ya viatu vya mtumbaa, especially vya kike, watoto na kiasi vya kiume. Nipo Mwanza na kiofisi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye A,B,C katika hii biashara naomba uelewa wenu, mtaji kiasi gani wa kuanzia na changamoto ya hii biashara!
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesoma gazeti moja la kimataifa linalo ongea kuhusu mashirika ya ndege na kuja kushitukizia kuwa swissport ndio inayo endesha shirika kutokana na changamoto zilizo kabili shirika. Naomba mwenye...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuuu katika kuhaso haso mkoani huko nimekusanya Tsh. milioni 30 sijui nifanye biashara gani. Nahitaji mawazo yenu wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
160 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…