Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nadhani ni wengi hapa tumewahi kununua vitabu katika safari zetu za elimu. Unakuta kuna kitabu flani karibu kila mwanafunzi alikuwa nacho. Ila sasa ukija kuangalia hali za maisha za hao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wauzaji wa vifaa vya umemekwa jumla na rejereja naomba kufahamu bei ya vitu hivi nataka niviongeze dukani kwangu. 1-Majiko ya umeme. 2-Pasi 3-Hita 4-Blenda zakusagia juisi. Mwenye kuuza hivi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar zenu jamani. Kama kuna mtu anauzoefu wa kusafirisha mazao kwa kutumia mafuso katika mikoa hii Morogoro, Mbeya na Iringa. We can join together na ku-transport mzigo. Nimechoka Kusafirisha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni suala la kitalaamu kiuchumi ambalo lipo katika maisha ya kila siku. Kwamba bei ikiwa ndogo uwezo wa kulipia huduma huwa mkubwa na kuongeza soko. Kwa hiyo ili kuruhusu soko kubwa lipanuke na...
12 Reactions
47 Replies
4K Views
Done..
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana Jamvi! Dada Cristina Mayville Stenbeck mwenye umri wa miaka 39 (Asili yake Sweden) ndio mmiliki halali (Chairman and principal owner) wa kampuni ya Investment AB Kinnevik. Kampuni...
3 Reactions
26 Replies
13K Views
Karibuni tuendelee na mijadala midogo midogo yenye lengo la kuchangamsha Fikra na kuongeza Upeo.Leo nataka tujadili namna ambavyo mtu anaweza kuongeza performance yake katika maisha ambapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasalaam, naomba mwenye laki moja anayeweza kuikopesha kwa riba mpaka tarehe 30/4 anisaidie tuwasiliane pm unahitajika leo kusolve dharura iliyojitokeza. Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za majukumu naombwa kujuzwa juu ya biashara ya vioo vya simu vya bei ya jumla mi nifundi simu pia naduka la accesories nahitaji kupunguza gharama za upataji wa vioo na touch haswa kwa simu...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi...
3 Reactions
57 Replies
7K Views
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge na 11 ya mwaka 1995, na ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996. TRA ndio wahusika wa mambo yote yanayohusisha kodi mbalimbali...
2 Reactions
454 Replies
56K Views
Wakuu! Wasalaam! Najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema, Ni hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo...
27 Reactions
497 Replies
102K Views
Ukinidanganya mimi hua nakuchukia kwa muda mrefu sana menyu inasema 3000 unapata gb 1.5 kwa siku saba nimelipia 3000 napewa gb 1.2 alafu Internet iko chini sana kwakweli nimechukia sana
1 Reactions
13 Replies
2K Views
7 ways how blacks can learn to manage and improve their financial skills from indians. 1. Family Business *according to Credit Suisse Family 1000, a recent study have shown that India ranks...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji kujua ni shilingi ngapi zinatosha kuanzia kufungua duka la vioo na aluminium?
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Habari wakuu, Poleni na majukumu. Samahani, Ninaombwa kuelekezwa jina na mahali kilipo kiwanda cha Kutengeneza bidhaa Plastic hususani Gumboots ndani ya Tanzania. Nitashukuru.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, I wish kufungua duka la Paramedical and childcare equipment. Jee soko lipo Tanzania? Naoembeni maoni yenu kuhusu biashara hii?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wengi ambao ni wafanyabiashara/wajasiriamali wamekua wakiusishwa/wakiamini kuwa ili kufanikiwa katika biashara itabidi ufanye ndumba kidogo ili mambo yaende sawa. Leo naomba tupeane uzi juu...
1 Reactions
35 Replies
48K Views
Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya. Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa JF, natafuta kampuni ya bima ambayo inatoa cover kwa mazao yaliyo shambani kama vile mahindi na mikorosho.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom