Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

KUHUSU UCHUMI: USIPENDE KUTUMIA USICHO KUWA NACHO Siri mojawapo ya kukufanya ubaki kwenye kutokwenda mbele kiuchumi ni mazoea ya kutumia kitu au fedha ambayo huna! Yaani, kwa kuwa una uhakika...
16 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna huduma ya Airtel inaitwa TIMIZA ambapo unaweza kopa hadi TZS 500,000 na kutakiwa kurejesha ndani ya siku 21 Tatizo ni Riba yao inafikia hadi 24% kwa muda huo. Hata kama ni mkopo husio na...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Habari wakulungwaaa! Huyu mwamba ni mhuni wangu. Kitambo sana tulisoma wote kwenye shule ya upili. Hata advance tulienda pamoja japo yeye alikuwa mchepuo wa art mi sayansi, tuliishi wote bweni...
18 Reactions
44 Replies
5K Views
Ningependa tubadilishane mawazo, ushauri na uzoefu kwa sisi wajasiriamali na wafanyabishara jinsi ya ku balance biashara na mapenzi ili kutoweza kutoka katika barabara ya kutafuta mafanikio. Hasa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kutoa ajira 100 za mwanzo Imeelezwa kuwa, Majaribio ya Awali ya Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metal Refinery ambacho ni Ubia kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu Mimi ni mama wa nyumbani mkazi wa uswahilini huku asilimia kubwa wakazi wa huku wana vipato vya chini. Sasa mimi nina elfu 50 nataka kufanya huku kwetu naomba mnisaidie ushauri Ni...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Jamani naomba msaada wa kujua kama Biashara ya Bajaji ya Abiria inalipa kwenye jiji la Arusha? Maana kwa sasa na bei imepanda sana ni 7.5 mpya. Nimevutiwa kununua nimpe kijana anileteee pesa kwa...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wakuu poleni na majukumu najua humu ndani kunawajuzi wengi wa music system mbalimbali au ambao washatumia binafsi Sina uzoefu Sana na mambo ya mzikii ila nimejitahid kutafutatafuta...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana jamvi! Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada ,naomba kuelekezwa vitu vya kuzingatia na vya msingi ninapohitaji kufungua maabara ya afya nikiwa sijasomea kada...
1 Reactions
0 Replies
740 Views
Millicom wameamua kuuza Tigo kwa kampuni ya Madagascar, hivyo tutarajie tigo kubadilisha jina muda si mrefu. Jamaa naona wanakimbia uchumi wa kijamaa, uchumi usioangalia Market Force bali...
5 Reactions
114 Replies
16K Views
Mimi ni mvulana wa miaka 23kwa ninaitwa, Johnson napatikana Dar es Salaam naombeni ushauri mimi nimesoma hadi form four lakini sikufanikiwa kwenda mbele zaidi na ni MTU anaependa kusoma hasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wandugu nimeona nilete uzi huu ili tupate kujuzana viwanda mbalimbali tunakoweza kununua vifaa/ bidhaa mbalimbali kwa bei za jumla. Bidhaa mfano: Vifaa vya ujenzi Vyombo Vifaa vya simu Vifaa vya...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini Wadau Naomba msaada kufahamu taratibu kwa yoyote aliyewahi kufanya biashara ya kusafirisha Mchele kwenda Kenya. Wasalaam
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavosema ninafursa kuu mbili kutoka kwa International connection na ningeomba mwenyewe kujua au aliyetayari tufanye hizi biashara. 1) INAITAJIKA GOLD 100KG...
3 Reactions
2 Replies
889 Views
Wadau wa JF Naomba ushauri wenu vitu muhimu vinavyohitajika katika biashara ya nguo, mtaji kiasi gani, changamoto za hii biashara ni zipi? Nguo za kiume za dukani.
2 Reactions
21 Replies
13K Views
Habarini za masiku ndugu zangu, matumaini yangu mpo wazima kabisa kiafya kimwili na kiroho. Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni kijana mwenzenu ambae nipo kwenye zone ya kuhustle kimaisha...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Niende moja kwa moja katika maada yangu. Nina amini kuwa humu ndani ya JF kuna watendaji wa serikali wakiwemo wa wizara ya Maliasili na utalii na pia wa wizara ya fedha na wa TRA. Ningependa sana...
6 Reactions
15 Replies
7K Views
Habari wanajukwaa. Ee Bwana ee, nimekuja kwenu wana jukwaa, kuomba tusaidiane mawazo kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Baada ya kumaliza chuo 2019, Mungu alinifungulia mlango nikapata kazi...
2 Reactions
60 Replies
12K Views
Ndugu wadau.. Kutokana na fursa zilizopo kwenye ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima kwenda Tanga.. Naomba kupata uzoefu wenu kuweza kujua namna ya kuweza kushiriki kwenye hiyo keki...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wana JF: Mzee Bakharesa Mtanzania mwenye asili ya kizanzibar mwenye tamaa kwenye kila sekta anataka kuishika yeye akumbuke ""mshika mengi menginee huponyoka"" Ukiangalia uwekezaji wake...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Back
Top Bottom