Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

pinno

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
1,213
1,228
Wakuu!

Wasalaam!

Najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema,

Ni hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo wa kuzalisha angalau 175,000 au approximately laki mbili kwa wiki, yaani wastani wa shillingi laki nane hivi kwa mwezi nje ya mshahara basi hesabu zangu za kujikwamua zitachelewa.

Ni HESABU ZA kujikwamua kimaisha, sio kutoka, yaani namaanisha kufanya hivi ni lazima ili nijikwamue, kisha nikishajikwamua ndio nianze kupiga mahesabu ya kutoka kimaisha.

Nina uwezo wa kuinject any amount kama capital lakini isizidi million 1 na sio lazima hizo return ziwe za haraka, yaani hata kama return za 200,000 kwa wiki zitaanza baada ya mwezi miezi miwili sio mbaya sana, cha muhimu ni kuwa within a period of six month from today, na kuendelea hadi miaka 6-7 mbele, ninapaswa kuwa na mradi nje ya mshahara unaoniingizia atleast 200,000 kwa wiki, na mradi huo usinigharimu zaidi ya million kama mradi sasa, uwezo wa kuusimamia mimi pysicaly ni Ijumaa, Jumamosi na Jumapili,lakini naweza weka mtu ninaemuamini, ninao few of them ambao wanaweza lipwa na mradi huo huo.

Naombeni sana mawazo yenu, wakuu, hali ya baba wa taifa sio nzuri, huwa nakuwa mjanja mjanja sana kwenye hayo mambo ila hadi nimekuja hapa tambua nahitaji mawazo yako chanya.

So kabla hauja fikiria kupuuzia, au kujibu upuuzi na kejeli au kuchukulia poa, jaribu kuvaa viatu vyangu japo hauvioni vizuri kisha unijibu.

Asante
 
Nina uwezo wa kuinject any amount kama capital lakini isizidi million 1. na sio lazima hizo return ziwe za haraka, yaani hata kama return za 200,000 kwa wiki zitaanza baada ya mwezi miezi miwili sio mbaya sana, cha muhimu ni kuwa within a period of six month from today, na kuendelea had miaka 6-7 mbele, ninapaswa kuwa na mradi nje ya mshahara unaoniingizia atleast 200,000 kwa wiki, na mradi huo usinigharimu zaid ya million kama mradi sasa, uwezo wa kuusimamia mimi pysicaly ni ijumaa, jumamosi na jumapili, lakini naweza weka mtu naemuamini, ninao few of them ambao wanaweza lipwa na mradi huo huo.
Tuwasiliane ifikapo Tarehe 01/ 03/ 2019, Je kwanini iwe hiyo tarehe?? , Nina sababu.
Ndio yawezekana ukapata zaidi ya 200,000 kila wiki.
 
Wakuu!

Wasalaam!

najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema,

Ni Hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo wa kuzalisha angalau 175,000 au approximately laki mbili kwa wiki, yaani wastani wa shillingi laki nane hivi kwa mwezi nje ya mshahara basi hesabu zangu za kujikwamua zitachelewa,

Ni HESABU ZA Kujikwamua kimaisha, sio kutoka, yaani namaanisha kufanya hivi ni lazima ili nijikwamue, kisha nikishajikwamua ndo nianze kupiga mahesabu ya kutoka kimaisha

Nina uwezo wa kuinject any amount kama capital lakini isizidi million 1. na sio lazima hizo return ziwe za haraka, yaani hata kama return za 200,000 kwa wiki zitaanza baada ya mwezi miezi miwili sio mbaya sana, cha muhimu ni kuwa within a period of six month from today, na kuendelea had miaka 6-7 mbele, ninapaswa kuwa na mradi nje ya mshahara unaoniingizia atleast 200,000 kwa wiki, na mradi huo usinigharimu zaid ya million kama mradi sasa, uwezo wa kuusimamia mimi pysicaly ni ijumaa, jumamosi na jumapili, lakini naweza weka mtu naemuamini, ninao few of them ambao wanaweza lipwa na mradi huo huo.

Naombeni sana mawazo weyu, wakuu, hali ya baba wa taifa sio nzuri, Huwa nakuwa mjanja mjanja sana kwenye hayo mambo ila hadi nimekuja hapa tambua nahitaji mawazo yako chanja

so kabla hauja fikiria kupuuzia, au kujibu upuuzi na kejeli au kuchukulia poa, jaribu kuvaa viatu vyangu japo hauvion vizuri kisha unijibu.

Asante
Upo mkoa au Dar
 
Back
Top Bottom