Tigo sasa wamegeuka kuwa kama wauza mihogo na mishikaki wa Coco Beach

Nyamwage

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
634
1,535
Ukinidanganya mimi hua nakuchukia kwa muda mrefu sana menyu inasema 3000 unapata gb 1.5 kwa siku saba nimelipia 3000 napewa gb 1.2 alafu Internet iko chini sana kwakweli nimechukia sana


Screenshot_20210416-152835_Phone.jpg
Screenshot_20210416-153051_Messages.jpg
 
wajinga hawa tunawachekea sana now wameanza kutushika makende. Huu ni wizi ulio clearly kabisa na ni aibu kwa kampuni yenye kiushindani kwa aina hii ya wizi

Kama wameingiwa tamaa kwenye vocha tunaweza ku imagine ni kiasi gani pesa zetu tigo pesa haziko salama
 
Tigo niesitisha kutumia internet mpaka watakapo uza 1GB kwa Tshs. 1000/= basi..

Now kwa matumizi ya internet natumia halotel via halopesa ..

Voice natumia airtel ofa ya tshs.1000 kwa dk 100 /wiki

#Tigo mnafeli sana
 
Leo mchana walinitumia hii msg hapo chini...

Screenshot_20210417-131837.png


Nikasema nihakikishe kama ni wakweli au ni waongo, baada ya kucheki menu yao nikakutana na hiki kituko hapo chini...

Screenshot_20210417-132606.png


Kiukweli nikatokea kuwadharau kupita maelezo, hapa namalizia bundle langu tu nililojiunga mwezi mzima kabla hawajabadili vifurushi, likiisha tu nahama mtandao najiunga bundle ya mwezi hata wakirudisha vifurushi watanikosa kwanza kwa muda mrefu sana kwa kweli.

STUPID TIGO...!
 
Tigo for now natumia kupiga tu. Najiunga bundle la dk 10,000 dk 800 mwezi na data najiunga TTCL at least
 
Back
Top Bottom