Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na mfumuko wa bei(Headline inflation) hii ni kwa kuambiwa lakini nimefanya pia analysis ya haraka haraka na kuona uhusiano mkubwa kati ya hivyo vitu...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, Samahani katika harakati za kujikwamua kimaisha nimepanga nifungue biashara ya duka la bidhaa za nyumbani kama vile viduka vyetu vya mtaani vya mangi. Kwa ambaye amewahi kufanya...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Imekuwa kila mara nikifungua Twitter nakutana na post nyingi watu wanaongele passive income, online course, affiliate marketing, digital marketing. Wanatumia nguvu kubwa sana kuitanganza mpaka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau. Tujuzane mkoa ulipo bei ya Kitunguu maji ni sh.ngapi kwa sasa?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kujua ukiwia unamtaji wako wa kiwango chochote cha pesa, unatakiwa upate kiasi gani cha faida kwa mwezi kwa mahesabu ya asilimia? Wengine...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi. Nilipenda kuulizia mwenye ujuzi na biashara ya Jatropha. Mimi nina namna ya kupata jatropha kwa wingi sana kwa hiyo anayejua soko la Jatropha anijulishe. ASANTENI
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wana jf naomba ambaye ana uzoefu namna ya kuwa agent wa online shopping platform [emoji1622], Nimeona watu wengi wanaagiza bidhaa mitandaoni lakini hawana ofisi za kupokelea bidhaa zao...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo. 2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari wana JF, naomba kuwatangazia fursa ya kuchangia frem ya biashara (sub renting). Frem iko Temeke karibu na hospital ya rufaa ya temeke. Nahitaji mtu ambae yuko serious aje tuchangie hii...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Salamu wakuu, Nina tokens (ERC20 token) kwenye wallet ya Metamask na zinaonyesha thamani ya wastani wa $8 kwa token lakini kwenye etherscan inaonyesha $0. Kuna namna ya kutengeneza Dapp ambayo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu. Hivi karibuni nimeanza kutangaza biashara instagram. Kwa kweli kuna tofauti kubwa kati ya biashara inayotangazwa na isiyotangazwa ila changamoto ni nyingi sana. Mara hela usikatwe...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Hello wakuu... Nina ramani ya nyumba upana mita 7.5 na urefu mita 16.5... sawa na square meter 123.75 Haina mikunjo mingi sana ila ina sebule ya 4.5 by 5m dining, corridor, jiko, stoo...
0 Reactions
36 Replies
34K Views
Habari! Kwa wanaoishi maeneo ya Makuru hapa Dodoma, naomba kujua Kama ni kunafaa kwa biashara ya pombe kali kama konyagi, k vant, blak Gn na kuendelea za kupima lakin, je hilo eneo linafaa kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu nina idea ya kitengeneza vibanda vya wamachinga na kuvipangisha. Vibanda hivyo nitaviweka pembezoni mwa barabara zote kubwa zilizopo mjini..kuanzia Shekilango, Sinza, Goba, Mbezi n.k Naomba...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za leo. Ukiwa ni tarehe 30/06 asubuhi toka saa kumi na mbili asubuhi system ya kupokea taarifa iko chini na inachukua muda mrefu sana kuload. Tunaomba mfanye jambo ili matakwa ya...
1 Reactions
2 Replies
800 Views
Mimi sasa naingia kidato cha sita but ninandoto za kuanzisha BIASHARA sasa nauliza nianzishe BIASHARA gani yenye mtaji mdogo nikimaliza shule kulingana na maeneo ninayotoka ninatokea Rorya Mara.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimeamini kuna watu wana kismati tuu. Wakati naanzisha hii biashara nilikaa mwenyewe kwa mda flani ambao nilikua free, Nikaona mauzo yanaenda poa tuu, Baada ya majukumu ya kikazi kuanza...
11 Reactions
30 Replies
4K Views
Naomba kufahamishwa wapi/mkoa upi nitapata kuku wa kienyeji kwa jumla na kwa bei nzuri? Pamoja na aina ya usafiri toka huko masokoni /minadani kuleta mjini. Asanteni
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Back
Top Bottom