Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nani ana uelewa mzuri kuhusu Fixed Bank Accounts, faida zake na benki gani inatoa interest nzuri. Je ni nyakati gani unaweza kufaidika zaidi. Funguka kwa faida ya wengi 👇🏽 #Ibua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
POSTA YAJIDHATITI KUIMARISHA HUDUMA ZAKE JIJINI DODOMA. Na mwandishi wetu- Dodoma Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Macrice Mbodo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, Nimehamasika sana na ushauri uliotolewa hivi karibuni na mh. Waziri mkuu Majaliwa kwamba sasa ni zamu ya watanzania kutajirika kupitia zao la alizeti. Naamini huu ushauri...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu Habari ya Machweo, haya mambo wala siyo ya kusimuliwa. Wachina wameuwa uchumi wa Zambia baada ya kukausha Zimbawe. Hao jamaa Wamejenga Economic Zone Ukanda wa Copperbelt waliahidi kuweka...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni...
12 Reactions
238 Replies
23K Views
Mke wangu ni mhitimu wa diploma ya maabara. Nataka kumfungulia duka la Kuuza Chemical reagents za hospital na viwandani. Naomba ushauri wenu taratibu za awali kabla sijafungua
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habarini za leo!? Lengo kuu la Uzi huu ni kutaka mawazo mbadala ama ushauli kutoka kwenu. Mimi mkazi wa Geita mjini mwenye miaka 24, sjaoa na Wala Sina mtoto. Naweza kusema kwasasa mm ni...
12 Reactions
40 Replies
8K Views
Habari wakuu. NATAFUTA ENEO KWA AJILI YA MGAHAWA AU M PESA MTAJI LAKI TANO TU. Nimehangaika sana hapa Dar sasa nimepata laki tano kama mtaji wa kuanza kufanya biashara ndogo ndogo kwa sababu njaa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nimepata soko la supermarkets, kwa kuanzia bidhaa ziwe na TBS kama kigezo cha kwanza. Bidhaa ziwe Sabuni,Lotion, shampoo,mafuta ya nywele na steaming. Zizalishwe Tanzania. Piga...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina wazo la kuanzisha Daycare and Nursery School Jijini Dodoma. Naitaji mshirika ambaye tutalifanya hili wazo liwe reality. Upo Interested ? Dm me.
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeandika andiko hili nikiwa natafakar ni upi uelekeo wa maisha yetu; Najua andiko hili linaweza kuwafanya Jubilee insurance kuuza BIMA ya maisha kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko hapo awali na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeona tangazo linaloeleza wanahisa kupata gawio. Sikulipata vema tangazo hilo na sikuweza kuandika mawasiliano yao. Naomba nisaidiwe kupata mawasiliano yao ili nidai gawio langu.
1 Reactions
1 Replies
779 Views
Wakuu natumai mko poa kabisa, kwa wale wadhaifu Mungu atawaponya. Kama kichwa kinavyo jieleza naomba kujuzwa kama member amesha wahi fanya manunuzi yeyote kwa njia hii. Utaratibu wake ukoje, maana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habarini za leo, nahitaji kufaham kiji-senta kilicho changamka au mji mdogo ambao unawajasilia Mali wadogo wadogo wanao uza chakula, chips, wamama wanye magenge ya vyakula. Ki miji hicho...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wadau Mimi ni mfanyabiashara wa jeans za mtumba za kiume, sina muda sana kwenye hii biashara ni kama miezi kadhaa. Sehemu zangu ni katika minada na magulio katika kuzunguka kwangu...
24 Reactions
31 Replies
5K Views
Tusaidiane jinsi ya kupata passport na steps zote zinazotakiwa. Nitashukuru kama wenye uelewa na haya mambo wanisaidie.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta chimbo zuri la kupata mzigo mzuri wa nguo za mtumba grade one kwa Mwanza ni wapi naweza pata, nataka nifanye biashara ya nguo na mtaji wangu ni kidogo siwezi kununua belo lakini pia...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
1. I have a business idea ambayo nimeifanyia kazi na tafiti za kutosha kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu, morogoro kisaki wanalima sana mpunga,kipindi cha mavuno gunia la mpunga wanauza 35,000/=...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Leo nimeweka laki moja kwene acc maalumu kwa ajili ya kununua gari Gari ninayoitaka ni Rav4 new model black Bei zake nimechek cheki kwenye mitandao ni milion 23-24 Sijui itabichukua muda gani...
8 Reactions
65 Replies
8K Views
Naomba mwenye ujuzi wa taratibu za kufuata ili niuze hisa zangu naomba mwongozo!Mwaka 2013 nilinunua hisa za benki ya Mwalimu.Hadi leo hakuna kinachoendelea nimeishiwa kupewa tu risiti.Kila...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom