Kodi(rent) (ushuru) malipo ya pesa, malipo yanayo kusanywa na serikali kwa mujibu wa sheria(KATIBA).
Kushindwa kulipa, kodi(rent), ni kosa la jinai serikali itakushtaki uadhibiwe kwa kufuata...
Miaka michache nyuma kabla ya ajira kuwa kitendawili (kuwa adimu)kuna kazi hazikupendwa kabisa japo zilikuwa na pesa nzuri sana.
1.MAMA NTILIE/BABA NTILIE.
Kwanza ilionekana kazi wanayofanya watu...
Uchumi ni nini?
Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia...
Kama ilivyo je wewe Ni mjasiriamali au unataka kufanya biashara iwe kubwa au ndogo. Basi fanya haya najua Unaweza nishukuru.
Wajasiriamali au wafanyabiashara wengi hushindwa Katika Uchaguzi wa...
Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi vya kitalii ikiongozwa na nchi ya Brazil. Lakini licha ya Tanzania kuwa na vivutio vingi vya kitalii ni chini ya asilimia mbili {2%} tu...
Habari za mchana.
Naomba msaada wa mwongozo kuhusu biashara ya nafaka. Nipo Mwanza. Mtaji wangu milioni tano. Naomba kupata dondoo zote ikiwemo changamoto na wapi nitachukua mzigo kuja kuuza
For carrying out various activities, business
requires money.
• Finance, therefore, is called the life blood of
any business.
• A business cannot function unless adequate funds are made available...
Maana ya neno kikudi,
Kikundi ni mkusanyiko wa watu kadhaa wenye rika tofauti au linalofanana, jinsia moja au tofauti ambao walioamua kufanya shughuli za kujiingizia kipato kwa mujibu wa sheria...
TANZANIA :- FAHAMU UJENZI WA SGR UNAVYOENDELEA
Ujenzi wa Reli ya Kati kwa Kiwango cha Kimataifa (Standard Gauge Railway) ambapo ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam - Morogoro (km 300) umefikia...
Kutokana na harakati za uchaguzi na matokeo nafikiri sasa ni wakati wa kuendelea na maisha. Ni lazima tukubali kwamba Tanzania ni kubwa zaidi ya tofauti zetu za kisiasa na kwamba pale...
Vijana wengi tumewekeza sana wenye social networks kama facebook, instagram, na kwningine. Ila kuna mtandao huu wa ma experts na connection za kazi ambao ni wachache wanaoutumia vizuir, Linkedln...
JENGA IMANI/UAMINIFU.
Biashara, hivi sasa zinahamia katika digital platforms. Kuna majukwaa mengi ambayo wateja wanakutana na wauzaji na kufanya biashara bila kuonana.
Mifumo hii imeongeza...
Naomba msaada wa taarifa kwa anayejua bei za madini yafuatayo ya vito kwenye soko la hapa nchini tanzania. Nahitaji bei za Emarald, Blue sapphire, green tourmaline, Aguamarine, Zircon, Red...
Kwa Tanzania ukiwa na Biashara ya huduma unaonekana kuwa Huna Biashara. Mpaka Uwe na Bidhaa za Kushika mkononi kama nguo,Kalamu,majembe,nk..Hapo Ndo unaonekana kuwa MFANYABIASHARA. Hiki kitu Siyo...
Wakuu habari za muda huu,
Leo nilipata wasaa wa kwenda sabasaba pale nikitarajia nitakuta maonesho yenye tija yanayoendana na kasi ya kauli mbiu “uchumi wa viwanda na biashara endelevu”...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.