Kuwa agent wa online shopping platform kama KIKUU, JUMIA, etc

maishakujipanga

Senior Member
Feb 13, 2017
115
118
Wana jf naomba ambaye ana uzoefu namna ya kuwa agent wa online shopping platform ,

Nimeona watu wengi wanaagiza bidhaa mitandaoni lakini hawana ofisi za kupokelea bidhaa zao.

Utaratibu gani unatakiwa ili kuwa na ofisi za kuweza kupokea hizi bidhaa na kuwapigia simu wateja wazifate.

Hii ni kwa Online platform zenye ofisi Tanzania.
 
Jumia si walifunga biashara Tanzania. Na jumia bidhaa zao nyingi zilikuw zinatoka hapa hapa nchini kwenye maduka na sehemu ya bidhaa ndio zilikuw zinatoka nje. Kikuu wao bado wapo na kuna baadhi ya mikoa / wilaya hawana ofisi za kupokelea mizigo. Nakushauri waandikie E-mail ukieleza hitaji lako nafikiri wanaweza kukupa analyse kuhusu mikoa/wilaya ambazo kuna wateja wao wanatembea mtandao wao lakini kutokana na kuwa hawana Agent huko hivyo hawanunui. Watakupa ABC. Option ya pili tafuta agent wao kwenye mkoa uliopo zungumza nae kama anaweza kukwambia alipitia njia gani. Nikutakie mafanikio mema
IMG_20210704_084056.jpg
 
Wana jf naomba ambaye ana uzoefu namna ya kuwa agent wa online shopping platform ,

Nimeona watu wengi wanaagiza bidhaa mitandaoni lakini hawana ofisi za kupokelea bidhaa zao.

Utaratibu gani unatakiwa ili kuwa na ofisi za kuweza kupokea hizi bidhaa na kuwapigia simu wateja wazifate.

Hii ni kwa Online platform zenye ofisi Tanzania.
kua wakala halisi mikoa iko ivi ili upewe uwakala inabid uwe na ofisi na leseni ata ya 120,000 kwa mwaka na pia uwe mjanja kweli kuweza kuhakikisha mkoa uliopo unaweza kuweka matangazo watu waone na sio online tu japo ila uwe mtu ulieiva sana mana inakua ndio kazi yako tu...tunatumia ofisi za mabasi sabu ya urahisi pia wa kurudisha mzigo dar endapo tuliemtumia ni tapeli ajaenda kuchukua ivyo ni hasara ila akiwa wakala lazima aje kulipa kwako na pia lazima upewe mkataba na ndugu zako pia wakudhamini mana unaweza kuleta ujinga ikawa hasara kubwa
 
Back
Top Bottom